Nanyimwa penzi na mke wangu

Nanyimwa penzi na mke wangu

Wewe si mume bali ni mume gume gume. Huyo mkeo ana malumalu ndiyo maana tunatukanwa malofa na wapumbavu. Karne hii tuliyonayo mwanaume unababaika na mwanamke. Kwangu mimi kata mti panda mti mwingine
 
Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.

Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu

Nyie mmeoana wakati bado utoto haujaisha?
 
Hahaha anakunyima kwasababu haoni ukifanya process za kufunga naye ndoa.We umekaa naye tu unamtumia kaona akukeshe mpaka upate akili
 
Mahari kwao hujatoa......halafu hata smartphone hutaki kununua..ufanywe nini. Acheni kupenda vya bure!
 
tafuta sasa umnunulie kabla hujamwona nayo ukaanza kumuuliza kaipata wapi
 
Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.

Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu

Bro, you as the man of the house should stump authority in your home. Your wife should learn to understand your capabilities without making such outrageous demands, and it all starts with you. Now repeat after me, "I WILL STUMP AUTHORITY IN MY HOUSE"...good luck bro
 
Ningekuwa mi ndo ningeongeza ujuzi kitandan ili inunue smart fon fast kimbe yeye anakunyima ! Hajui kula vya mme hiyo
 
Haahahaha kweli jf vituko.....yaani wewe huwe humu jf/fb/whtsapp/Badoo/tweeter nk yeye abaki na nokia tochi tuuuuuu....hahahaha amesha shtuka.....huku mitandaoni pazuri......kaona dili lipo huku...sasa papuchiiii hupati ng'o?tafuta gear nyingine ya kumtokea....la sivyo atagawa nje adi apate hy smartphone
 
Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.

Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu
sasa na wewe mkomoe, kama hataki kuchoma sindano za uzazi wa mpango kisha anakunyima chakula yako, mwambie basi wewe ndo unaenda kuchoma hiyo sindano
 
Nitatofautiana kidogo na wachangiaje wengine. Mkeo hawezi kukunyima asali kwa sababu hujamnunulia smartphone la hash! wala usidhani anatoka nje ya ndoa. Ni hivi; mkeo ana tatizo la fungasi kwenye mji wake wa uke, hivyo akifanya mapenzi anapata maumivu makali sana kiasi kwamba anaumia, baada ya muda wa sindano kuisha kaamua atumie njia hiyo kukueleza kivitendo kwamba sichomi sindano nyingine hadi uninunulie simu smartphonr akijua kwamba hautofanya nae mapenzi wakati hajachoma sindano. Zungumza na mkeo ujue tatizo zaidi ni nini. Pia mnunulie simu hiyo ya smartphone anayohitaji au unataka anunuliwe na mwanaume mwingine?

Nimeongea nae namnunulia baadae.Ye si hataki.
 
Hayo ni matokeo ya ulicho mwambia hapo hawali au ulicho kifanya hapo hawali,. Sasa unaficha unaanzia katikati sasa unafikiri watu watakushauli nini? Kuwa muwazi watu wakusaidie.. ulivyo andika ni kitu ambachö hakiwezekani.
 
Kuna shauri zingine bana mimi naweza comment kua mleta mada akapimwe akili sasa tukushauri usinunue hiyo simu ama vipi si umuhaidi tu kua utamchukulia na baada ya muda ukamchukulie mkuu uendelee kula urojo
 
Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.

Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu

umeshindwa nini kununua simu ya laki moja? hayo ndo majukumu yako usitulalamikie huku hata sie tuna majukumu yetu

au unataka tumnunulie sie?
 
USIJARIBU KUMNUNULIA!
Nakutahadharisha.
Ukimnunulia tu, ujuwe umefuga zimwi litakalokuwa linakula bila kukumaliza.

Atajuwa fika kwamba akitaka kitu fulani, Dawa ni kukunyima papuchi.
Kama unavyosema, uwezo huna, basi mweleze kwamba huna huo uwezo.

Kama ni mtu na akili zake ataelewa.
Lakini kama ni akili fyongo, POLE.
 
huyu ndie miss chagga ktk ubora wake wa tbs!!
 
Back
Top Bottom