Aiseee K unapewa buree... mtoto wa watu umemgeuza dodoki kuutwa haitoshi umemzalishaa,umemgeuza housegirl wako,mkata kiu,mahari kwao ujatoa angalau mzazi aseme nimezaa... Kasimu ka sh ngapi hako wewe konokonoo kimekushinda? mpe yako nalaaabuk wewe....
Mungu wangu umeomba hiyo sala kama vile huna ndugu wa kike... sema wakuepushie ndugu zako wa kike wasiwe na tamaaa
Khaa!! Dogo acha michezo ya wakubwa. Nipm nikuelekeze aje kuchukua smart phone mbili :glasses-nerdy:Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.
Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu
No smart phone No honey :glasses-nerdy:hiyo movie inaitwaje?
Khaa!! Kuna mtu hapa duniani hana tamaa??? Miye nadhani tamaa ndiyo inafanya maisha yetu yabadilike na kuwa mazuri Zaidi :glasses-nerdy:Mungu wangu umeomba hiyo sala kama vile huna ndugu wa kike... sema wakuepushie ndugu zako wa kike wasiwe na tamaaa
basi sawa mkuuMaisha yao ndio wameyataka hata kma kuna ndgu zangu wanafanya ni juu yao....bt hiyo life watakayo ni muda mfupi tu then wanapotea
hakuna ila kuna amabao wanatamaa mbayaKhaa!! Kuna mtu hapa duniani hana tamaa??? Miye nadhani tamaa ndiyo inafanya maisha yetu yabadilike na kuwa mazuri Zaidi :glasses-nerdy:
uwiiiiiiiiunakuta umesuguliwa mpaka pameota sugu utafikili mikundu ya nyani unanua ka i4n 6 wiki moja tu, kamedumbikia kwenye dishi la maji sikilizia maumivu hayo
Teh teh yani kuna watu wanaoa ila wanaakili kamma wavulana. Hata hilo unashindwa kuamua. Kuna uhusiano gani kati ya tendo la ndoa na smart phone? Mkeo kakujua una akil ndogo ndio maana anadirik kukuchezea akili.
Alafu fanya haraka uhalalishe mkuu achakutenda dhambi
Act like a real man....huwez nyimwa penz kwa sabab ya smart fone...labda humridhishi...au kuna mchepuko...
angemuelekeza tu then aanze kuweka deposit ya simu pole pole mbona wote hali mbaya sema tunafanya tu sacrificeyawezekana akashindwa mkuu...maana kama hadi wamefikia hatua ya kutangaziana mgomo, ujue hali ni mbaya na njia zote zile za kidemokrasia zimeshindikana.