kingi mweuc
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 266
- 73
Kumbe kuna kuoa na kufunga ndoa duh..mi nko wap
Umeoa ....????
Mahari kwao hujatoa......halafu hata smartphone hutaki kununua..ufanywe nini. Acheni kupenda vya bure!
Mmmh....Ningekuwa mi ndo ningeongeza ujuzi kitandan ili inunue smart fon fast kimbe yeye anakunyima ! Hajui kula vya mme hiyo
Sasa ushaambiwa umnunulie smart phone ya 100000 tu unataka ushauri wa nini?anakaa wapi me nina duka la simu
sasa mkuu mkeo ushindwe kumnunulia smartphone?wakati mishe za laki 3 ,5 hukosi?Ninyi ndio wale ambao mnawatongoza wanawake kwa kuwaambia kuwa
baba yangu anamiliki duka la smartphone pale kariakoo..hivyo
ukiwa na mimi swala la smartphone litabaki historia tu ....
Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.
Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu
Aaaaaaaaaa kwanini unamfahamufahamu mwenzako bila kufunga ndoa ?? Yesu ruwa sasa visim viko mpaka vya 190,000 ? mchukulie mbili kabisa
sasa mkuu mkeo ushindwe kumnunulia smartphone?wakati mishe za laki 3 ,5 hukosi?
uko wapi jamani nimekumiss huonekani siku hiziHahahaa... Mwenye kisu kikali ndie mla nyama
Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.
Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu
Wewe ni mngese sana, akili yako fupi sana, sasa tukusaidie nini? Jisach kanunueNimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.
Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu