chezo
Senior Member
- Oct 19, 2012
- 192
- 314
Habari wana jamii,
Naombeni ushauri wenu kuna mdada nimempenda sana nilimuomba awe mke wangu siku za usoni. Basi akanikubalia ila aliweka sharti moja kuwa tuwe wapenzi wa kawaida bila kuhusisha mambo ya mapenzi mpaka pale nitakapokuwa mume halali kwake.
Nikamkubalia nikijua siku za mwanzoni ni hofu kuna siku atalegeza msimamo kama kawaida yao. Ni mwaka sasa kiukweli sijapewa pamoja na kuomba sana. Huwa anakuja nyumbani tunalala tunachezeana ila nikitaka kuzamisha tu napigwa stop kuwa muda hujafika. Anachotaka yeye mimi nikajitambulishe, namwambia bado tunajipanga ila tunaweza kuendelea ila hataki.
Tumeshatambulishana kwa ndugu wote jamaa na marafiki ila ndio hivyo sipewi nifanyaje na mimi nina hamu nae. Ananilinda sana nisichepuke akipiga simu sijapokea dakika mbili yupo home kwangu. Hata kuchepuka siwezi nina muda mrefu sana sijapiga mambo.
Ni kwamba haniamini ama inakuaje hapa?