Huwa anakuja nyumbani tunalala tunachezeana...
Habari wana jamii,
Naombeni ushauri wenu kuna mdada nimempenda sana nilimuomba awe mke wangu siku za usoni. Basi akanikubalia ila aliweka sharti moja kuwa tuwe wapenzi wa kawaida bila kuhusisha mambo ya mapenzi mpaka pale nitakapokuwa mume halali kwake.
Nikamkubalia nikijua siku za mwanzoni ni hofu kuna siku atalegeza msimamo kama kawaida yao. Ni mwaka sasa kiukweli sijapewa pamoja na kuomba sana. Huwa anakuja nyumbani tunalala tunachezeana ila nikitaka kuzamisha tu napigwa stop kuwa muda hujafika. Anachotaka yeye mimi nikajitambulishe, namwambia bado tunajipanga ila tunaweza kuendelea ila hataki.
Tumeshatambulishana kwa ndugu wote jamaa na marafiki ila ndio hivyo sipewi nifanyaje na mimi nina hamu nae. Ananilinda sana nisichepuke akipiga simu sijapokea dakika mbili yupo home kwangu. Hata kuchepuka siwezi nina muda mrefu sana sijapiga mambo.
Ni kwamba haniamini ama inakuaje hapa?
Hata mi nasubiri mwaume wa kusubiri [emoji4][emoji126][emoji126][emoji126]heee! kwa mfano ndo tukimuunga mkono demu wako kwa jambo analofanya, wewe utaenda kumuacha au utachukua uamuzi gani? kwanza kama una hamu nae kiasi hicho kwanini usimuoe kweli ili usipate shida hiyo au unataka kumchezea tu mtoto wa watu? heshimu maamuzi yake, huyo ndo mwanamke anayetakiwa sawa kwenye jamii hii, kwani usipoduu kwa wakati huu hadi mtakapoona utakufa? mimi mwenyewe napenda nipate msichana wa aina hiyo hujui anakuepusha na mangapi na anakuonyesha njia ipi iliyo sahihi. Mwanaume Wa Kweli Ni Mjengaji Si Mbomoaji.
Habari wana jamii,
Naombeni ushauri wenu kuna mdada nimempenda sana nilimuomba awe mke wangu siku za usoni. Basi akanikubalia ila aliweka sharti moja kuwa tuwe wapenzi wa kawaida bila kuhusisha mambo ya mapenzi mpaka pale nitakapokuwa mume halali kwake.
Nikamkubalia nikijua siku za mwanzoni ni hofu kuna siku atalegeza msimamo kama kawaida yao. Ni mwaka sasa kiukweli sijapewa pamoja na kuomba sana. Huwa anakuja nyumbani tunalala tunachezeana ila nikitaka kuzamisha tu napigwa stop kuwa muda hujafika. Anachotaka yeye mimi nikajitambulishe, namwambia bado tunajipanga ila tunaweza kuendelea ila hataki.
Tumeshatambulishana kwa ndugu wote jamaa na marafiki ila ndio hivyo sipewi nifanyaje na mimi nina hamu nae. Ananilinda sana nisichepuke akipiga simu sijapokea dakika mbili yupo home kwangu. Hata kuchepuka siwezi nina muda mrefu sana sijapiga mambo.
Ni kwamba haniamini ama inakuaje hapa?
Ulifanya la maana sana mkuu, mwanamke wa kushikiwa akili na wenzie ni bomu la kiazi likikuponyoka muda wowote ni madhara makubwa!hii staili ya kunyimwa penzi mpaka ndoa ilinikuta baada mwenyewe akaniambia ameshauriwa na watu wake wa karibu aninyime mpaka nitangaze ndoa...nikawa namuuliza huku nacheka kwahiyo hizo za nyuma tulikuwa kwenye ndoa...kiukweli nilikuwa soon nikajitambulishe kwao,hakuna kitu sipendi kama kulazimishwa ndoa bila nafsi yangu kutaka yenyewe.nikitazama kama anawashauri kwahiyo ata siku nimuweka ndani tatizo likitokea washauri wake ndio watatatua..nikaomba holiday ya kutafakari kutoka kwake hiyo ndio my own rule ya kuondoka