Nanyimwa penzi mpaka nikatoe mahari

Nanyimwa penzi mpaka nikatoe mahari

Kama ni bikra vumilia mpaka utapotoa mahari kama alivotaka mwenyewe kama sio bikra inawezekana kwa bed ni zero so katika mahusiano yake yaliyopita labda alisex na wanaume wawili au watatu na katika hao wote waliposex nae tu wakambwaga na pengine na wao walimuingia kwa gia hiyohiyo ya kumuoa,kwa hiyo anaogopa na kwako isijetokea hivo ndo mana kakuwekea mgomo mpka utapotoa mahari maana anajua ukifanya hivo itakua ngumu kumbwaga.
 
Naam! Malengo yao ni tofauti. Kuna sehemu ameandika "alipolazimisha binti alitishia kusitisha mahusiano yao".

Kwamtazamo wangu, jamaa afanye kama binti atakavyo ili apate anachokitaka. Vinginevyo "asonge mbele".
asonge mbele tu
mimi binafsi hapo sioni cha ziada...
maana mwisho wa siku atakua anawaza mapenzi tuu wakati kuna vitu vingine vya kufanya vingi....
 
Kuna watu wanafiki sana humu duniani,(Baadhi). Hivi huwa mnadhani kila mtu ni mlevi Wa ngono????
Kuna watu wanaojiheshimu na kufuata utaratibu, "eti ukiona hivyo ujue anakojoleshwa kwingine"
Nyie watu nyieeeeeeeeeeee!!!!!!!!
How sure r u?????
Kijana Wa huu Uzi, fuata utaratibu, ukishindwa bas achana nae utafute mwenzio mwenye hamu mnaeelekeana.
Kweny mgegedo hakuna kuheshimiana heshima gani mnakaliana uchi
 
Mkuuu hapo inabidi umpige katelelo lazima papuchi akupe
 
Anafikiri ukimtolea mahali hautamuacha, angejua mmmh

Natumaini ukijaingia utapenda kurudia na sio kumkimbia. Ni Hajawahi kutenda au kwako kaamua tu iwe hivyo?

Bora mkapime kwanza magonjwa ya kuambukiza, asije kupa zile za ana ugonjwa mkapewe ushauri asikuambukize hapo ukiwa mumewe.

Siku ingine usipokee simu yake ukijua haupo home, uone atafanyaje. Na usiwe wa kubembeleza kujitetea ugumu muhimu.
 
Kutakuwa na mtu pembeni anayemgonga, ila hawajakubaliana kuoana, so kwakuwa ww umeingia na gia ya kuoa atakukazia mwanzo mwisho, ila kuna sehemu yy analilia kabisa apigwe mzigo, akili kumkichwa changanya na za kwako brother.
 
Mm pia mke wangu aliniambia hivyo, nikamchukulia Poa, nimekuja kupata habari zake. Na kupewa pongez kumpata, wanawake wa aina hiyo ni bahati sana kuwapata... Nimefuata ushauri wake, akija wala simwambii Mambo ya mapenzi. Namwoa mwaka huu..ameona dalili mpaka sasa za ndoa.


Hongera sana mkuu. Wanawake wanaojitambua na wenye misimamo katika maisha ni wachache sana. Ukiwabahatisha usipoteze muda kwa kudanganywa na stereotype thinking za watu mtaani. Kila la kheri kaka. Mkuu tualikane kwenye shughuli basi
 
Kuna watu wanafiki sana humu duniani,(Baadhi). Hivi huwa mnadhani kila mtu ni mlevi Wa ngono????
Kuna watu wanaojiheshimu na kufuata utaratibu, "eti ukiona hivyo ujue anakojoleshwa kwingine"
Nyie watu nyieeeeeeeeeeee!!!!!!!!
How sure r u?????
Kijana Wa huu Uzi, fuata utaratibu, ukishindwa bas achana nae utafute mwenzio mwenye hamu mnaeelekeana.

Maneno kuntu...safi sana. Nice to read such from a lady!
 
Tatizo nini sasa?? Si nenda kalipe hiyo mahari. Uzuri ni kuwa mahari huwa haimalizwi kwa hiyo hata kama huna pesa ya kutosha usiogope
 
Hujamchezea vya kutosha kulilia dyudyu, Siku ukimchezea atachomeka mwenyewee
AHAHAHHAHAHAAHAH...NA HIYO AVATAR YAKO NAKUBALIANA NA WEWE 101% KUWA UNACHOSEMA NI KWELI NA UZOEFU WA MAMBO HAYO UNAO WA KUTOSHA.
 
Halafu ukute sio bikira

NAPINGA HOJA YA KULIPA MAHARI KWA HISIA KUWA NI BIKRA...UNLESS WAINGIE MKATABA KUWA AKIKUTA BIKRA HAIMO ANARUDISHIWA MAHARI YAKE NA UCHUMBA UNAKUFA PAPO HAPO...

ZAMA HIZI SIO ZA KUINGIA KICHWAKICHWA KWENYE MAHUSIANO SERIOUS BILA KUJUANA VIZURI NA HASA KUJUANA KITANDANI...ASIKUAMBIE MTU BANA... KILA NUT NA BOLTI YAKE...

USIJEUKATOA MAHALI UKAINGIA IKAKUPWELEPETA BURE AU IKAKUBANA MPAKA UKAKOMA MWENYEWE.
 
Na mimi nasema hivi endelea kunyimwa tu hivyohivyo manake hamna jinsi sasa lazima utoe mahari.
 
nina hamu nae. KUMBE UNA HAMU NAYE HUNA MAPENZI NAYE
 
Anaweza asiwe bikra lakini hapendi kurudia dhambi hyo tena!
Hapa wanaume lazima tuchange, alishanifunulia niakikishe. Pia nilijisikia vibaya sana, maana mm sio bikra, nimeshabadili mpaka kero.
 
Habari wana jamii,

Naombeni ushauri wenu kuna mdada nimempenda sana nilimuomba awe mke wangu siku za usoni. Basi akanikubalia ila aliweka sharti moja kuwa tuwe wapenzi wa kawaida bila kuhusisha mambo ya mapenzi mpaka pale nitakapokuwa mume halali kwake.

Nikamkubalia nikijua siku za mwanzoni ni hofu kuna siku atalegeza msimamo kama kawaida yao. Ni mwaka sasa kiukweli sijapewa pamoja na kuomba sana. Huwa anakuja nyumbani tunalala tunachezeana ila nikitaka kuzamisha tu napigwa stop kuwa muda hujafika. Anachotaka yeye mimi nikajitambulishe, namwambia bado tunajipanga ila tunaweza kuendelea ila hataki.

Tumeshatambulishana kwa ndugu wote jamaa na marafiki ila ndio hivyo sipewi nifanyaje na mimi nina hamu nae. Ananilinda sana nisichepuke akipiga simu sijapokea dakika mbili yupo home kwangu. Hata kuchepuka siwezi nina muda mrefu sana sijapiga mambo.

Ni kwamba haniamini ama inakuaje hapa?
Jaribu kuzuia hisia zako fanya umuoe ndio akupe kila kitu acha uzinzi hauna faida yeyote isipokuwa ni fedheha tu
Aiseeee.......[emoji15]
Vijana wa dot com mnashida sana... yaani kunyimwa papuchu tu umekuja kuanzisha uzi...[emoji47]
Kweli this time Pombe anakazi kubwa sana kwa kizazi hiki
 
Kuna wanaume wanawatenda mabinti hadi kusababisha anayefuatia ateseke, hapo mkuu unalipa mateso ya uliyembadili huenda alimtesa sana binti wa watu baada ya kumpa papuchi. Kama unampenda kamlipie tu mahali ule kihalali.
 
Kalipe tu mahari .. Utakalo kutana nalo huko ndani ni lako na mwenzio na iwe siri kati yenu ...
 
Habari wana jamii,

Naombeni ushauri wenu kuna mdada nimempenda sana nilimuomba awe mke wangu siku za usoni. Basi akanikubalia ila aliweka sharti moja kuwa tuwe wapenzi wa kawaida bila kuhusisha mambo ya mapenzi mpaka pale nitakapokuwa mume halali kwake.

Nikamkubalia nikijua siku za mwanzoni ni hofu kuna siku atalegeza msimamo kama kawaida yao. Ni mwaka sasa kiukweli sijapewa pamoja na kuomba sana. Huwa anakuja nyumbani tunalala tunachezeana ila nikitaka kuzamisha tu napigwa stop kuwa muda hujafika. Anachotaka yeye mimi nikajitambulishe, namwambia bado tunajipanga ila tunaweza kuendelea ila hataki.

Tumeshatambulishana kwa ndugu wote jamaa na marafiki ila ndio hivyo sipewi nifanyaje na mimi nina hamu nae. Ananilinda sana nisichepuke akipiga simu sijapokea dakika mbili yupo home kwangu. Hata kuchepuka siwezi nina muda mrefu sana mambo.

Ni kwamba haniamini ama inakuaje hapa?
ni bora ukampose kabisa halafu mambo mengine baada ya ndoa
 
Kinacho kufanya usitoe mahari ni nini? Si uowe au utapungukiwa kitu?
 
Back
Top Bottom