Nanyimwa penzi mpaka nikatoe mahari

Nanyimwa penzi mpaka nikatoe mahari

Na wewe mwambie hela yako hautoi mpaka umuoe, mwambie unajipanga
 
Mkuu hongera kwa uvumilivu na uaminifu.Sasa ili ucje kufa kwa nyg pitisha donei ya mahari hapa JF ukalipe fasta. Weka namba yako ya M/Tigo pesa nikutumie buku la kianzio.
 
QUOTE="T 1990 ELY, post: 16571719, member: 245179"]Hahahaha kabisa hajamuchezea vizuri huyo mwanamke

Ajaribu kutembelea kila kona, shavu, kuta za papuchi

Mwenyewe ataomba dushe na atalichomeka kunako bila shurti

Yaani unyonye shingo,nywele,kwapa,denda ihusike kuliko tukuka

Aaah lazima aombe dushe

Napita tu [emoji125][/QUOTE]
mkuu acha kunichekesha kunyonya kwapa????
 
Mnachezeana ila kuzamisha unashindwa?

Katoe mahari basi ili uzamishe kabisa
 
wanawake huwa wana mbinu sana. Never trust a woman.
Anaweza kukubania ila kuna mwingine huko anapewa with free charge
Nenda kalipe mahar tu mr ukate mzizi wa fitina
Shikamoo mkuu ni kweli kabisaa
 
Nenda kalipe mahali then ulete mrejesho humu ndan
 
Shikamoo mkuu ni kweli kabisaa
marahaba mkuu.
Hawa wanawake ni pasua kichwa, usikute hapo ana kalai ss anaona akimpa jamaa atasepa km wengine walivyofanya. Bikira hana kubana abane duh!
Ila hawa viumbe ni waajabu sana, anaweza akakuruhusu ukamtomasa mpaka ww ukajiambie leo mtoto anatoa mzigo, ukitaka kuchomeka tu anakuuliza unataka kufanya nn?
Hapa huwaga nachoka kbsa
 
Katoe mahali fasta ila kaa ukijua kuna boya Fulani anajipigia kiulaini.Kama unafikiri nadanganya subiri ukimuoa kama utaona ana bikira
 
Mh, ama kweli vijana wengi tumeshakata tamaa na hatuaminiani

Hivi haiwezekani labda huyo dada ni bikira kweli na ameamua tu hivyo kutokana na hofu yake kwa Mungu wake asiyetaka kumkosea?
 
katoe mahali tu mkuu na siku ukitoa hakikisha halali piga mgegedo adi aombe poo
 
mimi nakelwa na kauli ya bado najipanga!!!!! Mtu kakwambia ulipe mahal hajataka ndoa sa unajiangaje?? kwan we nguo kabatini??? mwanaume wa ivo akisha weka dudu sahau na utabakia unaambiw kila ck najipanga!!!!
 
Wewe ni kiporo,hot supo yanywewa huko,ebu ujiongeze to think you are a man tchaa
 
hii staili ya kunyimwa penzi mpaka ndoa ilinikuta baada mwenyewe akaniambia ameshauriwa na watu wake wa karibu aninyime mpaka nitangaze ndoa...nikawa namuuliza huku nacheka kwahiyo hizo za nyuma tulikuwa kwenye ndoa...kiukweli nilikuwa soon nikajitambulishe kwao,hakuna kitu sipendi kama kulazimishwa ndoa bila nafsi yangu kutaka yenyewe.nikitazama kama anawashauri kwahiyo ata siku nimuweka ndani tatizo likitokea washauri wake ndio watatatua..nikaomba holiday ya kutafakari kutoka kwake hiyo ndio my own rule ya kuondoka
 
Trust Issue Bhana Ni Pana Kdogo Ila Shez Right Wakat Mwngne Jitahd Usiendeshwe Kwa Hisia Za Matamanio Kama Unataka Kuoa Unles Otherwise Ila Tulia So That U Observe... Ukiridhia Peleka Posa
 
Back
Top Bottom