Nanyaro ateuliwa kuongoza CHADEMA Arusha mjini

Nanyaro ateuliwa kuongoza CHADEMA Arusha mjini

Mimi nafikiri tungebadilisha lugha, badala ya kusema mapambano. Tusema uhamasishaji na uelimishaji wa wananchi. Mapambano limekaa kimgomomgo/kunji/maandamano. We should find a good name on this.. Ningeshauri tupunguze kutumia nguvu kupita kiasi, jazba na hasira badala yake tuelimishe umma kujua haki zake and maove yanayoendelea ili kufanya uamuzi mzuri wa kuwapata viongozi waadilifu wa nchi hii iliyobarikiwa.
Nakubaliana na wewe kabisa lakini matumizi ya neno pambana na hamasisha/elimisha hutegemea sehemu na aina ya kazi husika. Mazingira ya wakati huo yanaweza kabisa kubadili maana na matumizi ya maneno hayo.

Ukikutana na Simba polini huwezi kusema unaelimisha ni lazima upambane, rushwa imefikia stage ya ufisadi ni sawa na mnyama ni kupambana nayo kwanza baadae tutawaelimisha wananchi, CCM ilipofikia si ya kuelimisha eti kuachana na ufisadi au kuelimishwa kuachia madaraka ni kupambana nayo vinginevyo utakesha na hawatakuelewa.

Mimi nashauri twende navyo vyote pamoja wakati tunaelimisha tunapambana vile vile.
 
Mi nimepita tu! Nawasubiri wenyewe waje maana siwaoni humu kabisa. PJ,Preta,Black Woman,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Sokon 1 na wote wenye vyanzo hapa town sijawaona.Na bila shaka waki2a tutawasikia vema!
 
hivi cdm huwa hawana matawi? mbonasijasikia wakifanya chaguzi!!
Mkigoma,
Uchaguzi wa Chadema ni baada ya miaka mitano. Tutakuwa na Uchaguzi nchi nzima toka mising hadi taifa mwaka 2013 kwa mujibu ratiba ya Chama.

Hata hivyo, baadhi ya maeneo ambayo serikali imeyagawa kama segerea, ukonga nk uchaguzi unafanyika mwezi huu. Hope you have got it clear.
 
Nawashukuru sana kwa pongezi zenu za dhati,natambua matarajio makubwa ya umma unaotamani migogoro ya chadema iishe,kimsingi kikao cha siku mbili kilikuwa cha baraza la mashauriano ya mkoa,kilizungumzia wilaya zote,na hali ya kisiasa kwenye wilaya zote za mkoa wa Arusha zinaendelea kutekeleza maazimio ya chama kama tulivyokubaliana kwenye baraza la 1april,kwa Arusha mjini baraza likagundua matatizo mbalimbali ya kiuongozi,ndipo kamati tendaji ikaridhia kujiuzulu ili kupisha uchaguzi wa watu watakaoweza kukiimarisha chama zaidi,hasa ikizingatiwa hali ya Arusha mjini ilivyo
Nashukuru kuwa viongozi wenzangu wamenipa heshima hii kubwa ya kuendeleza pale wenzangu walipofika.
Ni kweli chadema tuna misingi,matawi,na kata,hivyo moja ya majukumu yangu makuu ni kuhakikisha chama kinakuwa imara kuanzia ngazi ya chini kabisa,yaani msingi,hii ni pamoja na kuelekea kwenye uchaguzi wa wilaya
Mapambano yanaendelea

Mkuu nakutakia kila la heri! kazi ni nzito lakini tupo pamoja!
 
Nawashukuru sana kwa pongezi zenu za dhati,natambua matarajio makubwa ya umma unaotamani migogoro ya chadema iishe,kimsingi kikao cha siku mbili kilikuwa cha baraza la mashauriano ya mkoa,kilizungumzia wilaya zote,na hali ya kisiasa kwenye wilaya zote za mkoa wa Arusha zinaendelea kutekeleza maazimio ya chama kama tulivyokubaliana kwenye baraza la 1april,kwa Arusha mjini baraza likagundua matatizo mbalimbali ya kiuongozi,ndipo kamati tendaji ikaridhia kujiuzulu ili kupisha uchaguzi wa watu watakaoweza kukiimarisha chama zaidi,hasa ikizingatiwa hali ya Arusha mjini ilivyo<br />
Nashukuru kuwa viongozi wenzangu wamenipa heshima hii kubwa ya kuendeleza pale wenzangu walipofika.<br />
Ni kweli chadema tuna misingi,matawi,na kata,hivyo moja ya majukumu yangu makuu ni kuhakikisha chama kinakuwa imara kuanzia ngazi ya chini kabisa,yaani msingi,hii ni pamoja na kuelekea kwenye uchaguzi wa wilaya<br />
Mapambano yanaendelea
<br />
<br />
Nanyaro nakupongeza kwa kuamiwa na chama hadi kukabidhiwa jukumu la kushika usukani,nakutakia kila la kheri.
 
Ndugu wanaJf
Habari za uhakika kutoka kwenye baraza la uongozi la chadema mkoa,lililokaa kwa siku mbili mfululizo,kujadili hali halisi ya kisiasa Arusha mjini,limegundua makosa mengi ya kiuongozi ngazi ya wilaya,na mara baada ya majadiliano kamati tendaji yote ya wilaya ikaamua kujiuzulu kwa hiari, ili kupisha viongozi wapya.

Hivyo Nanyaro ambaye ni diwani wa Levolosi na mmoja wa vijana wenye ushawishi mkubwa wa siasa za upinzani Arusha mjini, kuteuliwa kuongoza task force ya wilaya,yenye lengo la kuimarisha chama, na kuratibu zoezi la uchaguzi wa wilaya.

Hata hivyo mwenyekiti wa mkoa amesisitiza kuwa CHADEMA ni imara,na Nanyaro ameteuliwa kwa kuwa ni mmoja wa viongozi wanaokijua chama Arusha kwa undani,na mwenye rekodi nzuri ndani ya chama

Mmeanza kujivua gamba mapema hivyo hata dola hamjaishika. Kweli nyie si watu makini na mnao faaa kuaminiwa na watanzania.
 
Hivi utaratibu ukoje ndg zangu? kikao kilichokaa jana kilikuwa cha kamati tendaji ya mkoa, imekuwaje ikajadili suala la wilaya ya arusha peke yake? vipi kuhusu wilaya zingine?
Hata hivyo napongeza zoezi hilo kutokana na kwamba kulikuwa hakuna mawasiliano mazuri ya chama kutoka wilaya kwenda mkoani, na kutoka wilaya kwenda kata. hongereni sana

Mtoa mada ndio amezungumzia Arusha mjini peke yake! labda waweke tamko au maazimio ya kikao ndio itakuwa na mambo yote
 
Mmeanza kujivua gamba mapema hivyo hata dola hamjaishika. Kweli nyie si watu makini na mnao faaa kuaminiwa na watanzania

Kama kujivua gamba sio umakini mbona chama chenu cha magamba ndio kinafanya hayohayo!? kwahiyo wanatuonesha kwamba nyie sio makini?
 
Hongera Mh. ila sasa kaza buti na tumia ulimwengu wa teknolojia kuwafikia vijana wengi zaidi ili kukiimarisha chama wilayani na hatimaye mkoa na taifa kwa ujumla
 
Mmeanza kujivua gamba mapema hivyo hata dola hamjaishika. Kweli nyie si watu makini na mnao faaa kuaminiwa na watanzania
GB unachanganya mambo, sisi huo msamiati wa kujivua gamba hatuna sisi tunaimarisha chama hasa safu ya uongozi, kwenu nyie ndio kuna msamiati, hebu angalia hapo chini dhana ya kujivua gamba kwenu ilivyo....

Malecela amtega JK
&#8226; ATAKA MAAMUZI DHIDI YA LOWASSA, CHENGE

na Salehe Mohamed, Dodom
MWANASIASA mkongwe, Samuel John Malecela, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchukua maamuzi thabiti ya kumalizana na dhana ya kujivua gamba kwa ama kutekeleza au kutangaza kuachana na mpango wa kuwatimua makada wa chama hicho wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi...
 
Kama kujivua gamba sio umakini mbona chama chenu cha magamba ndio kinafanya hayohayo!? kwahiyo wanatuonesha kwamba nyie sio makini?

Achana nae huyo mkuu, vijana wa magamba kazini. Akipost tu anapeleka invoice kwa nape.
 
WanaJF Ninawashukuru sana Mwenyenzi Mungu kwa hali ya Kisiasa ilivyo sasa jijini Arusha hakika Mh J Nanyaro amekuwa mchango mkubwa na Tumeshirikiana naye kwa hali na mali, usiku na mchana kuhakikisha Chadema kinabaki imara na Arusha inabaki kuwa Ngome thabiti ya CDM.

Vitisho vilikuwa vingi sana tulilala vitanda hadi vinne tofauti ili tuone jua siku inayofuata,tulikimbia Arusha-Dar-Moshi hadi usiku wa manane atimaye viongozi wameona juhudi,ujasiri na umakini wa Mh Nanyaro, ninachoweza kuwahakikishia wana wa Arusha, CDM imepata kiongozi makini asiyemumunya maneno na mwadilifu kama Rais wetu.

PEOPLES POWER, Naomba kuwasilisha.
 
Viongozi wa CHADEMA Arusha wajiuzulu

KAMATI ya Uongozi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Arusha mjini, imejiuzulu.
Sababu ya kujiuzulu kwa kamati hiyo ni kubainika kwa udhaifu katika uongozi wake hali iliyosababisha ishindwe kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba ya chama hicho.

Uamuzi huo ulifikiwa juzi katika kikao cha Baraza la Uongozi wa mkoa kilipokaa kwa siku mbili na kujadili hali ya kisiasa mkoani hapa na rufaa mbalimbali zilizowasilishwa na wanachama wake.

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani hapa, Samson Mwigamba, aliwaeleza waandishi wa habari jana baada ya kumalizika kwa kikao hicho kuwa uongozi huo wa wilaya uliokuwa chini ya uenyekiti wa Dereck Magoma, ulifikia hatua ya kujiuzulu kwa hiari.

Alisema kuwa uongozi wa wilaya ya Arusha mjini utakuwa chini ya uongozi wa mkoa ambao umeunda kamati ya muda itakayoongozwa na Ephata Nanyaro ambaye pia ni diwani wa kata ya Levelos katika kipindi cha mpito hadi uchaguzi mkuu wa wilaya hiyo.

Aidha baraza hilo la uongozi mkoa lilifuta adhabu ya kusimamishwa uongozi waliyokuwa wamepewa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) wilaya , Exaud Mamuya na Katibu wake Anold Kamnde, baada ya kubainika kuwa taratibu zilikiukwa katika kuwachukulia hatua hiyo hivyo wakarudishwa madarakani.

"Baraza la Uongozi la Mkoa liligundua kwamba katika kuwachukulia hatua za kinidhamu viongozi hawa kuna baadhi ya vifungu vya katiba na kanuni za uendeshaji wa chama hazikufuatwa hivyo baraza lilitengua adhabu hiyo na kuwarudishia nafasi zao Mwenyekiti na Katibu wa BAVICHA wilaya ya Arusha mjini," alisema Mwigamba.

Katika hatua nyingine mwenyekiti huyo alisema kuwa baraza la uongozi la mkoa limepiga marufuku vikao visivyo vya kikatiba alivyodai kuwa vimekuwa vikifanyika kwa siri maeneo mbalimbali vikihusisha vikundi mbalimbali vya wanachama.
Alisema kuwa CHADEMA haitasita kuchukua hatua za kinidhamu kwa kiongozi au mwanachama yeyote atakayeshiriki vikao vya namna hiyo alivyodai kuwa ni utovu wa nidhamu na vinalenga kuibua migogoro.
 
Nawashukuru sana kwa pongezi zenu za dhati,natambua matarajio makubwa ya umma unaotamani migogoro ya chadema iishe,kimsingi kikao cha siku mbili kilikuwa cha baraza la mashauriano ya mkoa,kilizungumzia wilaya zote,na hali ya kisiasa kwenye wilaya zote za mkoa wa Arusha zinaendelea kutekeleza maazimio ya chama kama tulivyokubaliana kwenye baraza la 1april,kwa Arusha mjini baraza likagundua matatizo mbalimbali ya kiuongozi,ndipo kamati tendaji ikaridhia kujiuzulu ili kupisha uchaguzi wa watu watakaoweza kukiimarisha chama zaidi,hasa ikizingatiwa hali ya Arusha mjini ilivyo
Nashukuru kuwa viongozi wenzangu wamenipa heshima hii kubwa ya kuendeleza pale wenzangu walipofika.
Ni kweli chadema tuna misingi,matawi,na kata,hivyo moja ya majukumu yangu makuu ni kuhakikisha chama kinakuwa imara kuanzia ngazi ya chini kabisa,yaani msingi,hii ni pamoja na kuelekea kwenye uchaguzi wa wilaya
Mapambano yanaendelea
hongera sana Mungu akuzidishie hekima na busara kwa kipindi hiki kingumu kwa ajili yakukomboa taifa letu
 
HTML:
Mi nimepita tu! Nawasubiri wenyewe waje maana siwaoni humu kabisa. PJ,Preta,Black Woman,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Sokon 1 na wote wenye vyanzo hapa town sijawaona.Na bila shaka waki2a tutawasikia vema!

Haya salaam zao. nikiwaona nitawapa ujumbe wako.
 
HTML:
Nawashukuru sana kwa pongezi zenu za dhati,natambua matarajio makubwa ya umma unaotamani migogoro ya chadema iishe,kimsingi kikao cha siku mbili kilikuwa cha baraza la mashauriano ya mkoa,kilizungumzia wilaya zote,na hali ya kisiasa kwenye wilaya zote za mkoa wa Arusha zinaendelea kutekeleza maazimio ya chama kama tulivyokubaliana kwenye baraza la 1april,kwa Arusha mjini baraza likagundua matatizo mbalimbali ya kiuongozi,ndipo kamati tendaji ikaridhia kujiuzulu ili kupisha uchaguzi wa watu watakaoweza kukiimarisha chama zaidi,hasa ikizingatiwa hali ya Arusha mjini ilivyo
Nashukuru kuwa viongozi wenzangu wamenipa heshima hii kubwa ya kuendeleza pale wenzangu walipofika.
Ni kweli chadema tuna misingi,matawi,na kata,hivyo moja ya majukumu yangu makuu ni kuhakikisha chama kinakuwa imara kuanzia ngazi ya chini kabisa,yaani msingi,hii ni pamoja na kuelekea kwenye uchaguzi wa wilaya
Mapambano yanaendelea

Hongera mkuu, nakutakia kazi njema.
 
Wafuasi siku zote huangalia nini Viongozi wanafanya na kuimarisha misingi kule walipo.Sasa sisi tupo na tunaomba msimame tusijejilaumu siku ya mwisho.CCM nao wanataka waje juu kwa lazima ila ukiwa na cancer mara nyingi kupona nayo uombe Mungu..

Peoples power Today , tomorrow and forever.
 
Hivi utaratibu ukoje ndg zangu? kikao kilichokaa jana kilikuwa cha kamati tendaji ya mkoa, imekuwaje ikajadili suala la wilaya ya arusha peke yake? vipi kuhusu wilaya zingine?
Hata hivyo napongeza zoezi hilo kutokana na kwamba kulikuwa hakuna mawasiliano mazuri ya chama kutoka wilaya kwenda mkoani, na kutoka wilaya kwenda kata. hongereni sana
Well noted, but to my understanding is that, perhaps you wanted to contest also- correct me if am wrong!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom