Nanunua/nahitaji pumba kavu

Nanunua/nahitaji pumba kavu

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
7,930
Reaction score
991
habari wana jf.
mimi ni mjasiriamali ninaeibukia kwa kasi ya ajabu katika sekta ya ufugaji wa kuku,ng'ombe wa maziwa na mbuzi jijini Dsm
nahitaji mtu anayeweza ku supply pumba kavu gunia 20 kwa mwezi.
mwenye kuweza hilo ani PM au piga simu no.0719 909 015

BEI NI MAELEWANO.
 
tunashukuru mjasiriamali, subiri watakupigia wenye nazo hususan wenye mashine za kusaga na kukoboa au ww ungewatembelea kabisa hao pia ni nzuri
 
Back
Top Bottom