Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba b au c au d.

Mwenye gari namba a nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.



rav 4 short chasis 8m namba cbf
 
Toyota ist 2004
Cc 1350
colour black
Reg no ccc
Km 80000
price 9.5m
Engine vvti
Mazungumzo yapo
Gari ipo moro mjini.
0719416969
 
Wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7Mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba B au C au D.

Mwenye gari namba A nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5Milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.

kaka mimi nina dyna minibus iko singida wilaya ya manyoni.je uko tayari kwenda kuichukua?
 
Mzigo wenyewe ni huu hapa chini:
View attachment 195342View attachment 195343View attachment 195344
View attachment 195346
Mzigo huu nimeuingiza nchini mwezi wa sita mwaka huu,namba yake ni CYB 225,old model ya 2000,ngoma ngumu, sasa hv mileage yake ni km elf 80 na ushee,imefanyiwa service zote kila muda wa service unapowadia,haina historia ya accident,naiuza kwa sababu nina gari lingine mkuu,bei yng ni mil 7.4 tu mkuu,karibu sana

Mkuu mbona mwaka huu ndy Kwanza tuko mwezi wa kwanza :what::what:
 
Mkuu mbona mwaka huu ndy Kwanza tuko mwezi wa kwanza :what::what:

Chaliii, angalia vizuri hiyo post yangu,sikuituma leo kama wewe ulivyoona,ni ya muda mrefu kidogo,nafikiri mwaka uliopita, kama vipi tufanye biashara mzee wa chuga
 
Chaliii, angalia vizuri hiyo post yangu,sikuituma leo kama wewe ulivyoona,ni ya muda mrefu kidogo,nafikiri mwaka uliopita, kama vipi tufanye biashara mzee wa chuga

Mkuu nashkuru ila bado sijawa na uwezo wa kutembelea matako
 

Attachments

  • 1420871592243.jpg
    1420871592243.jpg
    35.1 KB · Views: 246
Wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7Mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba B au C au D.

Mwenye gari namba A nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5Milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.

Mkuu nina Toyota Fun Cargo
# T...BHA
Bei 5.5m, negotiable
Contact 0714010511 or PM
Colour black
 
Jamaa sijui ameshsfilisika maana hakuna dalili za kununua gari humu
 
Back
Top Bottom