NANUNUA KUKU WA KIENYEJI

NANUNUA KUKU WA KIENYEJI

📢 TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI 🐔

Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka.
💰 Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku
📍 Eneo: Dar es Salaam
⏱️ Nahitaji haraka iwezekanavyo!

Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja!

📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0653796351
11K. Kuku wa kienyeji Dar?
📞 Piga/SMS/WhatsApp:
 
📢 TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI 🐔

Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka.
💰 Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku
📍 Eneo: Dar es Salaam
⏱️ Nahitaji haraka iwezekanavyo!

Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja!

📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0653796351
We wa wapi? 11,000/= labda kifaranga
 
sema nataka viranga wa miezi miwili, sio kuku hapo utapata kwa bei hiyo
 
Anapata mbona hasa kipindi hiki karibu likizo inaisha, wazazi wanauza wapate ada na vifaa vya shule, japo itamchukua muda kuwakusanya ila sio kama hapati
Hivi vijiji vyenye umeme wa REA na watu wanaangalia Azam tv hupati
 
Ngoja niwafanyishe mazoezi ya ukakamavu ya wiki mbili hivi, hawa broiler wangu, then nawapaka rangi tofauti tofauti kwenye manyoya yao. Baada ya hapo nitakuuzia kwa hiyo bei.
 
Aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom