Nanunua kuku wa kienyeji

Nanunua kuku wa kienyeji

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,732
Nanunua kuku wengi wa kienyeji-mtetea kwa shilingi 5000/=. Kama una kuku wa kienyeji mtetea kuanzia 50, 100, 200, 1000 n.k nanunua kwa bei hiyo Arusha. Ufugaji unalipa.
 
Sasa mtetea wa Tsh 5,000 we ulisikia wapi?

Yani unataka ununue kuku akatage siku 10 hela yako irudi wakati kuna aliyemtunza miezi mingi
Kunasehemu natakiwa ni-supply, nami nataka nipate faida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom