Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,160
- 55,675
Nanunua kuku wengi wa kienyeji-mtetea kwa shilingi 5000/=. Kama una kuku wa kienyeji mtetea kuanzia 50, 100, 200, 1000 n.k nanunua kwa bei hiyo Arusha. Ufugaji unalipa.
Ningewapata hao ingekuwa vizuri zaidiKuna aina nzuri Sana ya kuku wa kienyeji singida
Niko singida but hiyo bei unajidanganya sanaa kuku wapo juu sanaKuna aina nzuri Sana ya kuku wa kienyeji singida
Amesema mateteahiyo bei unatafuta vifaranga vya kufuga au?

aache dharau, ufugaji una changamoto sana,!
Lipa 10,000 Jumapili ijayo uje kuchukua singida hata 1000 ukitakaNanunua kuku wengi wa kienyeji-mtetea kwa shilingi 5000/=. Kama una kuku wa kienyeji mtetea kuanzia 50, 100, 200, 1000 n.k nanunua kwa bei hiyo Arusha. Ufugaji unalipa.
bei ipo chini labda 12000 nina kuku 4000Nanunua kuku wengi wa kienyeji-mtetea kwa shilingi 5000/=. Kama una kuku wa kienyeji mtetea kuanzia 50, 100, 200, 1000 n.k nanunua kwa bei hiyo Arusha. Ufugaji unalipa.
Ndio natafuta mkuu
Bei iko juu sanaLipa 10,000 Jumapili ijayo uje kuchukua singida hata 1000 ukitaka
Vifaranga hapanaHutaki kuku wewe labda vifaranga
Kama unao niletee tufunge biasharaKweli fursa ni ujanja wa ziada na sio akili za darasani
Ukipata kuku kwa bei hiyo basi umaskin wa watanzania utadumu milele
Vifaranga hapana
Kunasehemu natakiwa ni-supply, nami nataka nipate faidaSasa mtetea wa Tsh 5,000 we ulisikia wapi?
Yani unataka ununue kuku akatage siku 10 hela yako irudi wakati kuna aliyemtunza miezi mingi