Nanunua kuku wa kienyeji pure

Nanunua kuku wa kienyeji pure

Mawazo yako nayakumbuka sasa wote wanaendelea kufa kwa ubishi wangu walifika nikawachanganya bila kuwapa chanjo najutaa na nakukumbuka wameshakufa kama 20 na wengine wanaendelea kusinzia

maskini pole sana nakumbuka ulinipm majuzi nilikua hi hi ht sijui nilikujibu nn !sasa hao watakaobak ndo watakuwa fresh hawatashambuliwa tena wanakuwa na kinga tayar !pole usikate tamaa mie mimefuga kuku kwa miaka 3 naua hvyo hvyo sasa hv nachinja ninapojiskia hawafi wala kuugua tena ! utaweza tu usisite kunistua ukiona kuna shida !kila la heri
 
Nashukuru sanaa naona hukunijibu kabisaa labda ulipitiwaa.....asante sanaa je unaweza kunipa kuku hata 10 au kuna mahali unafahamu naweza kununua ila tetea peke yake??nimeamini chanjo muhimu sana tena sanaaa
 
Back
Top Bottom