DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,213
- 714
Nitashukuru mkuu, nikupe email? Au namba ya whatsapZipo nyingi sana na mimi nimeelekezwa tu na mfugaji mkubwa sanaa anafuga hawa kuku..nitakutumia maelekezo pia...hatumii haya madawa ya kizungu kabisaa na hajawahi hata siku moja