Yanapatikana kwenye nini?.. Hujamalizia.Yanapatikana kwenye baada ya Ng^ombe kuchinjwa. Pia sio kila Ng'omne anayo. Ukubwa wa Gallstone inategemea na Ng'ombe. Kuna wanaotoa 25grms lakn wengne wanatoa 0.5grams
matumizi yake ni nini?Ninanunua gallstones zinapatikana kwenye nyongo ya ng’ombe. Ng'ombe wa kanda ya ziwa wanazo sana 2