Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Ongeza dau.............
Ndg bado sijakupata! Wewe lengo ni kubata mbikira au mke? Yote waweza yapata; na waweza pata hata bikira feki pia! Sijui upo wapi lakini naamini hakuna sehemu ambako Mabikira hawapo! Ungekuwa pande zetu huku wapo wengi sana! Hata fom 6 unakuta bado kajitunza! Ila kwa ugumu wa maisha 98% utapata feki nyingi maana hilo dau ni kubwa sana kwa maishayetu ya bongo. Huo ni mtaji kabisa Subiri akina Manka watakwambia wao wapo bikira na utaridhika - zipo ndumba za kutengeneza bikira na hata wachina wapo juu
Uko pande zipi mdau? mana pande za huku kila ninaegumiana nae ashachakachuliwa.
Ongeza dau.............
dada umeanza matusi nitakusemelea kwa mama
VP mbona kule umesema uliulizwa kuwa K iko wapi? ina. maana mshikaji alishindwa kukubikiri?