Ndg bado sijakupata! Wewe lengo ni kubata mbikira au mke? Yote waweza yapata; na waweza pata hata bikira feki pia! Sijui upo wapi lakini naamini hakuna sehemu ambako Mabikira hawapo! Ungekuwa pande zetu huku wapo wengi sana! Hata fom 6 unakuta bado kajitunza! Ila kwa ugumu wa maisha 98% utapata feki nyingi maana hilo dau ni kubwa sana kwa maishayetu ya bongo. Huo ni mtaji kabisa Subiri akina Manka watakwambia wao wapo bikira na utaridhika - zipo ndumba za kutengeneza bikira na hata wachina wapo juu