Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Ndugu Wadau, Nadhani muda unavyokwenda, nchi yetu inazidi kudidimia katika wimbi la ufukara. Nchi imekwisha na hali inazidi kutisha, hasa tukizingatia hali ya kisiasa na ya kiuchumi.
Itakuwa vyema sana, hasa baada ya ndugu yetu, kinara mkuu wa JF Mwanakijiji kujitambulisha, itakuwa vyema ajumuike na wenzie Shayo na Mashaka , na wengineo ili kuiokoa Tanzania. Waheshimiwa, inabidi tulijadili ili swala kwa busara siyo kujadili watu kama ilivyo kawaida yetu.
Je Vijana hawa waingie kwenye Kinyang'anyiro cha 2010 au Wasubiri hadi 2015 mafisadi wazidi kuimaliza nchi kwanza?
Mwanakijiji tunakuomba ujitambulishe rasmi ili pamoja na HS pamoja na JM tuwape kura kuiongoza Tanzania, Tumechoka na Ufisadi na pia tumechoshwa na mafisadi. Hawa ndio dawa, na watakuwa mwiba kwa mafisadi tukiwapa mikono na mibaraka kuingoza taifa. Hatuna namna
Ha ha ha what a joke!!
I guess these guys cannot even handle an extra mistress let alone a wife!!!