William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #21
Sidhani kama unaweza kulinganisha hizi blog mbili. Kwanza moja ni forum which requires membership, the other is a blog which any person (including impersonators) can post articles and comments. JF has some reputable members eg: Dr Slaa, nk, while it's arguable that Michuzi blog has no members but viewers/commentators.
Pili hawa watu wawili wana-motive tofauti. Mmoja ni mwanaharakati/mwandishi, aliye na forum yake hadi podcasts. Mwingine ana profession yake na kitu anachofanya ni kuandika articles once in a while. Sasa utaweza kuwalinganisha hawa kweli? I think this is more of umbea than a competition.
Labda upime impact yao. But this wld depend what that means. JF ina news nyingi pamoja na ripoti za siri. But has it had impact? Michuzi blog inasambaza 'habari' kwa wingi pia. Pia target za news zao ni toafuti. So i would imagine their impact is also different.
- Point taken.
FMEs!