- Wakuu masilahi ya taifa mbele kwanza, vipi kwenye kulisaidia taifa letu nani kati yao ni jabali zaidi, na hizi blogs ipi ni bora zaidi?
- Wakulu wote huko juu ninawasikia sana, lakini lets put things where they belong, nani zaidi katika kuelimisha taifa, katika kuyaanika wazi matatizo ya taifa letu? Je katika hizi blogs ipi ni huru zaidi katika kuzingatia demokrasia yaani uhuru wa maoni?
- Ninaamini kwamba wote ni vijana, yaani MMJ na Mashaka, kwa sababu ukisoma fimbo zao siku zote kihistoria ya taifa letu huwa haziendi mbali sana, ndio maana ninasema hivi tuweke wazi hapa nani bingwa ili aendeleze libeneke zaidi, na blog ipi kali zaidi ili iendeleze libeneke zaidi, na watakaoshindwa basi ni wakati muafaka kujirekebisha.
- Tunatata kiongozi wa Blogs, tena kwa facts na dataz unajua nimechoshwa sana na vijembe vijembe kila kukicha mara huku vijembe mara kule vijembe, sasa tuweke ngoma chini, nani bingwa somebody is tukimaliza kusiwe na ishus tena, ila wote tu-focus na taifa huku tukijua kiongozi ni nani.
- Na ninasema hivi I am looking forward kuchangisha hela za kutafuta zawadi maalum ya mshindi wa hili shindano, mimi mwenyewe naweka chini dola 200 za kuanzia, na ninaahidi atakayeshinda hata kama ni Mashaka atapewa zawadi yake, lakini tufike mahali tache vijembe na tu-focus on our nation kwa kushirikiiana huku tukijua nani ni kiongozi wa mapambano na ni blog gani ni kiongozi wa mapambano haya.
Respect.
Field Marshall Es!