SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,251
- Okay, so far naona wengi tunakubaliana kwamba Mwanakijiji ndiye bingwa kuliko John Mashaka, meaning kwamba Mwanakijiji ndiye undisputed king wa siasa za online na kwamba from now on anayo our mandate yetu, yaani wananchi wote wa Online Political Activism na kwamba kwenye ishu nyingi muhimu za taifa, kama hakuna hoja nzito ya kumpinga automatically anakuwa anatuongelea wote kutoka Online Politics, ninasema kwenye kila mkusanyiko lazima kuwe na kiongozi,
- Kuna ishu moja ambayo sikuona inachangiwa ya kutosha, je ni ipi blog zaidi ya nyingine kati ya Michuzi na JF Kumkoma Nyani? Ninasema tuntaka undisputed leader katika hizi shuguli sio kulalalama tu bila uongozi.
- Halafu wewe mkuu huko juu, hivi kwa nini usichukue time-off na hizi internent ukapumzika japo siku mbili, mkuu this thing is wearing you down, I mean ni ushauri wa bure tu this 24/7 Online Syndrome is taking you down bro!
Respect.
FMEs!
Heshima mbele Amani GK. Issue sio uoga wa kusimamia ninachoamini, issue ni kuwatendea haki hata wale usiokubaliana nao. Ndio maana nilitanguliza samahani kuhusiana na the motive behind hii thread.Paso acha uoga simamia unachokiamini!
Mkuu FMES, kwanza natanguliza samahani kwa mtazamo wangu juu ya "the motive behind hii thread". Lengo lako sio kulinganisha bali ni uchokozi wa kutaka kumdhalilisha Mashaka na kuidhalilisha Globu ya Jamii kwa kuilinganisha na JF.
Huwezi kushindanisha the obvious, huku unaelewa fika nani ni zaidi ili yule aliyechini akanywage na kupondwa pondwa. This is unfair.
JF ni forum, ina heshima yake, ina nguvu yake, ina wafuasi wake na ina impact yake, siyo vema na sio haki kuilinganisha na globu ya jamii.
Globu hiyo ya jamii, nayo ina heshima yake, ina nguvu yake, ina maeneo yake ya kujidai, ina wafuasi wake na pia ina impact yake. Zote zina fanya kazi zake vizuri kufuatana na malengo yake, hivyo sio haki kuzipambanisha.
Hii ya kumlinganisha Mzee MKJJ na Joni, hii ni "simple mind-discuss people", pia motive ni kumdhalilisha Joni kumlinganisha na Mzee. Hujamtendea haki huyu kijana mdogo kumshindanisha na baba yake.
Ukiamua kumlinganisha JK na Mwalimu JK utakuwa ni sawa na kumdhalilisha JK mbele ya Mwalimu, vivyo hivyo kumshindanisha Mwalimu na kina Socrates na Plato utakuwa humtendeai haki.
Mashindano ya kweli ni pale variable zinapofanana ama kukaribiana huku kukiwa na level playing ground ndio maana hata haya mashindano kwenye politics zetu, kila siku mshindi atakuwa yule yule aliyeshika mpini.
Hongera Michuzi na kazi nzuri ya globu yako na Mashaka wako.Endelea kutuhabarisha habari za people and events.
Hongera JF kwa kuendeleza discusion of great minds akiwemo Mzee MKJJ.
Mzee FMES kuliletwa swali hili humu JF kumepelekea majibu tofauti kama ambavyo ungeliuliza kwenye globu ya jamii. Its not fair!.
ES;
The fact kuwa Michuzi ameanza kuiita BLOG yake BLOG YA JAMII. Wakati anajua wazi kuwa kuna jamiiforums ambayo imesajiliwa kihalali INAONYESHA WAZI KUWA JAMIIFORUMS IPO JUU.
Na anachofanya kwa kuiita blog ya jamii ni kuwachanganya watu wasiojua tofauti ya JF na Michuzibblogspot.
Kwa ufupi utakuta Nadir haroub yule beki wa Taifa stars anajiita Nadir Cannavaro. Lakini Mwenyewe Cannavaro wa ukweli hawezi kujiita NADIR.
JF ipo juu sana
Heshima mbele, lengo I just wish you be fair, what was your motive behind hii thread yako, lengo iangu sio kudiscuss people but to put records straight, its not fair kwa globu na Joni wake. just that.- Mkulu Pasco, angalau wewe hapa na hii post hu-discuss people, ila I am wondering una-discuss nani? Au nini I am lost! I mean total lost,
- You can't have it both way, na unatafuta nini kwenye thread ya simple mind ya ku-discuss people, huku wewe una big mind?
FMEs!
Huyu jamaa aliyetoa hii thread mbona huwa haongei pumba leo inakuwaje?
Ndugu Wadau, Nadhani muda unavyokwenda, nchi yetu inazidi kudidimia katika wimbi la ufukara. Nchi imekwisha na hali inazidi kutisha, hasa tukizingatia hali ya kisiasa na ya kiuchumi.
Itakuwa vyema sana, hasa baada ya ndugu yetu, kinara mkuu wa JF Mwanakijiji kujitambulisha, itakuwa vyema ajumuike na wenzie Shayo na Mashaka , na wengineo ili kuiokoa Tanzania. Waheshimiwa, inabidi tulijadili ili swala kwa busara siyo kujadili watu kama ilivyo kawaida yetu.
Je Vijana hawa waingie kwenye Kinyang'anyiro cha 2010 au Wasubiri hadi 2015 mafisadi wazidi kuimaliza nchi kwanza?
Mwanakijiji tunakuomba ujitambulishe rasmi ili pamoja na HS pamoja na JM tuwape kura kuiongoza Tanzania, Tumechoka na Ufisadi na pia tumechoshwa na mafisadi. Hawa ndio dawa, na watakuwa mwiba kwa mafisadi tukiwapa mikono na mibaraka kuingoza taifa. Hatuna namna
Ndugu Wadau, Nadhani muda unavyokwenda, nchi yetu inazidi kudidimia katika wimbi la ufukara. Nchi imekwisha na hali inazidi kutisha, hasa tukizingatia hali ya kisiasa na ya kiuchumi.
Itakuwa vyema sana, hasa baada ya ndugu yetu, kinara mkuu wa JF Mwanakijiji kujitambulisha, itakuwa vyema ajumuike na wenzie Shayo na Mashaka , na wengineo ili kuiokoa Tanzania. Waheshimiwa, inabidi tulijadili ili swala kwa busara siyo kujadili watu kama ilivyo kawaida yetu.
Je Vijana hawa waingie kwenye Kinyang'anyiro cha 2010 au Wasubiri hadi 2015 mafisadi wazidi kuimaliza nchi kwanza?
Mwanakijiji tunakuomba ujitambulishe rasmi ili pamoja na HS pamoja na JM tuwape kura kuiongoza Tanzania, Tumechoka na Ufisadi na pia tumechoshwa na mafisadi. Hawa ndio dawa, na watakuwa mwiba kwa mafisadi tukiwapa mikono na mibaraka kuingoza taifa. Hatuna namna
Nchi sio uwezo wa kuandika viji articles tuuu, Kuna mambo mengi katka uongozi, so sidhani kama wanasifa hao watu wako wote..mpaka tungejua angalau historia yao ya uongozi na maendeleo yao na si kujiandikia vijiarticle wapewe nchi