I was not talking about ENIAC na wala sijaitaja ENIAC. I'm talking about Atanasoff - Berry computer (ABC), the first to use Binary arithmetic and electronic switching technology.ninavyofahamu programmable computer ya kwanza kabisa duniani imegunduliwa na mjerumani anaeitwa Konrad Zuse
msome zaidi wikipedia
Konrad Zuse - Wikipedia
halafu compare na ENIAC (ulioitaja)
ENIAC - Wikipedia
google inaniambia ABC imetengenezwa 1939 na ikakamilika 1942.I was not talking about ENIAC na wala sijaitaja ENIAC. I'm talking about Atanasoff - Berry computer (ABC), the first to use Binary arithmetic and electronic switching technology.
ENIAC lost its patent in a 1973 US District Court decision. Waliiba electronic switching technology from the ABC computer.
But anyways, it depends na timeline and what really constitute a digital technology.
You can start from the logarithm tables, greek tablets, calculators etc... But what really revolutionized digital technology start from that Prof. and his grad student in 1937.
Like I said earlier, it depends. Kuna arguments nyingi. Kuna sources zinazoonyesha kuwa first lpaer ilianza 1935 lakini ilikamilika 1942. Plus ABC ni electronic while Z3 ni mechanical.google inaniambia ABC imetengenezwa 1939 na ikakamilika 1942.
1936 hadi 38 zuse alitengeneza z1 na
kuanzia 1938 ikaanza kutengenezwa z2 (ABC haijaanza bado watu wapo version ya pili) na mwaka 1940 ikawa ipo tayari
1939 ikaanza z3 kutengenezwa na mwaka 1941 ikazinduliwa,
wakati Zuse anatoa computer yake ya 3 ndio ABC inakamilika
History of Computers and Computing, Birth of the modern computer, Relays computer, Konrad Zuse
ndio maana juu nikasema inategemea unaongea nini, mfano na mimi naweza vutia upande wangu nikaongelea point zangu, for the sake of arguments ngoja niwe upande wa Japan na nielezee kwanini Japan Ni zaidi ya marekani na Nchi nyingi duniani kwenye TechnologyLike I said earlier, it depends. Kuna arguments nyingi. Kuna sources zinazoonyesha kuwa first lpaer ilianza 1935 lakini ilikamilika 1942. Plus ABC ni electronic while Z3 ni mechanical.
Pia kuna wanahistoria wanaoiponda ABC na kusema siyo programmable etc...
But all in all US wamerevolutionize digital technology. United States owns GPS(the most used positioning system), kuna stealth technology, etc etc .. I think US is advanced than Japan in many technologies.
Usa na Uk wamelitengeneza taifa fake la Israel ili tu kujihami na waarabu pande zileUSA yupo juu kwa technologia na sio kweli america anamtegemea Israeli ila vice versa is true
Ndio kwa kiasi fulan ,mm ni mfuatiliaji mzur wa channel i24 ya Israel,startups nyingi za Israel ,investors wengi wanatoka USA. Israel wako vizur ki technology capital ndio tatizo , government yao inatumia kias kikubwa cha fedha katka security hivyo startups za Israel zinaitegemea sana USAJe nikweli kwamba marekani inamtegemea israel kisayansi
Yeah, kumbuka FBI walienda ku unlock code za iPhone Israel, na wengi wamarekani watundu wa technology ni jewsJe nikweli kwamba marekani inamtegemea israel kisayansi
Tatizo hawataki kuweka waziKupaa na ungo tz tupo juu ogopa mtu anapaa na chombo hakiita
Nmekuelewa mkuuI was not talking about ENIAC na wala sijaitaja ENIAC. I'm talking about Atanasoff - Berry computer (ABC), the first to use Binary arithmetic and electronic switching technology.
ENIAC lost its patent in a 1973 US District Court decision. Waliiba electronic switching technology from the ABC computer.
But anyways, it depends na timeline and what really constitute a digital technology.
You can start from the logarithm tables, greek tablets, calculators etc... But what really revolutionized digital technology start from that Prof. and his grad student in 1937.
mkuu hizo ni kamba tu watu kibao wanaweza kubypass hizo iphone sembuse FBI? hizo ni media brainwash za kuongeza mauzo ya iphoneYeah, kumbuka FBI walienda ku unlock code za iPhone Israel, na wengi wamarekani watundu wa technology ni jews
Safi sana mkuu, umeelezea vizuri.ndio maana juu nikasema inategemea unaongea nini, mfano na mimi naweza vutia upande wangu nikaongelea point zangu, for the sake of arguments ngoja niwe upande wa Japan na nielezee kwanini Japan Ni zaidi ya marekani na Nchi nyingi duniani kwenye Technology
1. zamani za kale hawa jamaa wanatumia marobot viwandani, na mpaka sasa kampuni 10 bora zaidi zinazouza marobot ya viwandani karibia zote ni za kijapan kiwe kiwanda ni cha US, China, Ulaya etc Japan ndio anategemewa atoe Technology za maroboti.
top 10 robotics companies in the world | Robotics & Automation News
nikisema maroboti namaanisha mashine zinazotengeneza vitu viwandani.
2. Transportation system, linapokuja suala la usafiri Japan wapo juu kuanzia meli, treni, magari etc nafikiri hili ni rahisi hakuna haja ya kulizungumzia sana
3. Energy, hakuna Technology bila energy na japan ndio mtengenezaji mkubwa energy. kwa sasa hivi Usa wana kampuni moja tu ya kizawa inayotengeneza vinu vya nyuklia wanawategemea japan wawazalishie energy kampuni kama Hitachi na Toshiba ndio zinatengeneza hizi mambo, achana na nuclear vitu kama
4.vifaa vya nyumbani, anzia majiko, oven, ac, pasi, tv, utakuta vingi vinatoka japan na si USA, japan wana Hoteli automatic zinatambua sura zinajua huyu mtoto nisimuuzie pombe, zinapasha moto au kupatisha baridi
5. silicon silicon silicon
tunajua kwamba chip nyingi ndani ya vifaa vyetu kama processor vinahitaji material yanayoitwa silicon kutengeneza, na jinsi technology inavyopanda inahitajika silicon nzuri zaidi kwa sasa Japan pekee ndie anaeweza kusupply hio silicon hivyo kampuni kama Intel, AMD, Qualcomm na kampuni nyengine za kimarekani hutegemea japan
It Is Japan, Not The U.S., That Leads In Serious Technology, Says Top Reagan Technology Advisor
Kwahiyo mkuu baada ya kampuni ya apple kukataa kufungua hile simu fbi waliona silution ni kwenda israel, na vipi, walifanikisha au.....?Yeah, kumbuka FBI walienda ku unlock code za iPhone Israel, na wengi wamarekani watundu wa technology ni jews
Kwo ilkua danganya toto ili iphone ipate soko.mkuu hizo ni kamba tu watu kibao wanaweza kubypass hizo iphone sembuse FBI? hizo ni media brainwash za kuongeza mauzo ya iphone
Snowden FBI is lying, it can already unlock iPhone without Apple support
Asimia 80% ya new innovation inaanzia USA ndiyo inaenda sehemu nyingine duniani ikiwemo Japan. USA sio wa kushindanisha na Japan kwenye technology au innovationWakuu kumekuwa na ushindani katika teknolojia duniani leo nimeona nijitoe uvivu niulize juu ya hilo swala
Nani mjuaji wa teknolojia kati ya USA VS japan aksante.
Asante sana mkuu kwa jibu zuri. Umeongea ukweli. Unapozungumzia teknolojia ni topic pana sana hivyo basi hakina nchi kwa sasa yenye uwezo wa kujigamba kuwa ni mfalme wa technology kwa sababu kila mmoja anajikita kwenye utafiti wa teknolojia ambayo ina tija kwa taifa lake au kampuni yake. Mfano teknolojia ya uvuvi kule Sweden, Norway na Japan haiwezi kuwa na tija moja kwa moja kwa nchi za Uarabuni kama U. A. E hivyo basi hawawezi kuanza kushindana.ndio maana juu nikasema inategemea unaongea nini, mfano na mimi naweza vutia upande wangu nikaongelea point zangu, for the sake of arguments ngoja niwe upande wa Japan na nielezee kwanini Japan Ni zaidi ya marekani na Nchi nyingi duniani kwenye Technology
1. zamani za kale hawa jamaa wanatumia marobot viwandani, na mpaka sasa kampuni 10 bora zaidi zinazouza marobot ya viwandani karibia zote ni za kijapan kiwe kiwanda ni cha US, China, Ulaya etc Japan ndio anategemewa atoe Technology za maroboti.
top 10 robotics companies in the world | Robotics & Automation News
nikisema maroboti namaanisha mashine zinazotengeneza vitu viwandani.
2. Transportation system, linapokuja suala la usafiri Japan wapo juu kuanzia meli, treni, magari etc nafikiri hili ni rahisi hakuna haja ya kulizungumzia sana
3. Energy, hakuna Technology bila energy na japan ndio mtengenezaji mkubwa energy. kwa sasa hivi Usa wana kampuni moja tu ya kizawa inayotengeneza vinu vya nyuklia wanawategemea japan wawazalishie energy kampuni kama Hitachi na Toshiba ndio zinatengeneza hizi mambo, achana na nuclear vitu kama
4.vifaa vya nyumbani, anzia majiko, oven, ac, pasi, tv, utakuta vingi vinatoka japan na si USA, japan wana Hoteli automatic zinatambua sura zinajua huyu mtoto nisimuuzie pombe, zinapasha moto au kupatisha baridi
5. silicon silicon silicon
tunajua kwamba chip nyingi ndani ya vifaa vyetu kama processor vinahitaji material yanayoitwa silicon kutengeneza, na jinsi technology inavyopanda inahitajika silicon nzuri zaidi kwa sasa Japan pekee ndie anaeweza kusupply hio silicon hivyo kampuni kama Intel, AMD, Qualcomm na kampuni nyengine za kimarekani hutegemea japan
It Is Japan, Not The U.S., That Leads In Serious Technology, Says Top Reagan Technology Advisor
Sahihi kabisa! Walioifungua ile simu ni security firm yenye makao makuu kule Israel lakini haimaanishi kwamba Wayaudi ndiyo muhimili wa teknolojia hapa duniani. FBI, NSA, CIA wote walikua na uwezo wa kuifungua ile simu shida ni kwamba sakata lile lilikuja wakati ambao serikali ya Marekani na mashirika yake ya ulinzi yalikua yakikosolewa kuhusu ukihukwaji wa haki za faragha (privacy) za wananchi. Hivyo basi kukwepa mjadala kwenye vyombo vya habari FBI wakajifanya kua wao hawawezi kufungua ile simu na kuitaka Apple kufanya vile.mkuu hizo ni kamba tu watu kibao wanaweza kubypass hizo iphone sembuse FBI? hizo ni media brainwash za kuongeza mauzo ya iphone
Snowden FBI is lying, it can already unlock iPhone without Apple support
Sahihi kabisa U.S imeilelea JapanUwezi ongelea Japan bila ya kuishirikisha US. Baada ya vita ya pili ya dunia,US ilipewa kazi ya kuifufua na kuiendeleza Japan. Mpaka sasa mnavyoona Japan ya leo .