Nani zaidi kati ya Wordpress vs Drupal ?

mi sijui kucode na ni mvivu wa kuzisoma, watu wanatengeneza themes na kama alivosema c6 support ipo so sio lazma kila mtu ajue kucode

Ukiwa unajua ya kuwa sijui ku code lakini nina u wezo wa ku download free templates, free plugins, utaweza kunipa tenda ya kutengeneza website? Sababu ili kufikia customers at some point lazima ufanye coding kwenye themes au hata kwenye plugin kufanya tweeks ku meet clients need.
 

Sijaona suala la posts na likes za @zech zinaingiliana vipi na topic
 
Correction Sir. Ili uwe programmer mzuri lazima kwanza uilewe na uikariri. Kama programming sio kukariri basi njoo nikusimulie programming kama hadithi halafu nikupe kazi ya kuchapa code tuone kama utaweza.

Ukijua maana ya kukuriri (definition) nadhani utabadili msemo wako. For the record wanyama kama mbwa, paka na other pets wana kariri hawaelewi. kwa hiyo mbwa anaweza kuwa programmer
 
Ukijua maana ya kukuriri (definition) nadhani utabadili msemo wako. For the record wanyama kama mbwa, paka na other pets wana kariri hawaelewi. kwa hiyo mbwa anaweza kuwa programmer

Mkuu, hivi unajua kweli kusoma au macho yako ni vidonda? Soma vizuri post yangu, uielewe na ndipo ujibu na sio kukurupuka kama mtu aliyeshituka kutoka usingizini.
 
Pigen code vijana from scratch....hizi CMS zinawawekea limit ya kufikir matokeo yke mnadumaa kimawazo
 
I agree. It depends on what you wanna build. But also, it depends on the client that you are handling. jamaa anakupa laki 3, and you want to design from scratch. am not sure if its a worthy investment. Sometimes the likes of Divi and the Genesis framework make life so so easy. you get a stock theme and with a little tweaking you are ready to go

I use drupal for systems where I work, and its amazing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…