Vigezo.
1. Ubora wa kazi zao.
2. Ubora ktk Sanaa ya mapigano
3.Umri.
4.Mkwanja
5. Umaarufu.
Fala kweli ha ha ha haUna Rambooo ? Nina mua.. ni ujinga ujinga tu
"Come with me if you wanna live"Sylvester Stallone movie zake zina creativity kubwa sana hasa kwenye kuchagua maneno ya kutumia nakumbuka
"ignore weather to live the land"