Nani zaidi kati ya hawa?!!

Safhat

JF-Expert Member
May 19, 2012
270
25
Madaktar bngwa kutoka nchi 3 walikaa kushindana mfanikio ktk nchi zao:
MCHINA:Kwe2 alizaliwa mtt hana mikono,2kamwekea ya bandia na sasa ni mpiganaji karati maarufu.
MJERUMANI:Aah! Iyo kdg 2.kwe2 alizaliwa mtt hana miguu 2kamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji marathon na ana medal 3 za gold.
MTANZANIA:akacheka,akajiproud bado hamja2fikia hata robo.kwe2 alizaliwa mtt hana kichwa 2kamweka NAZI.na ivi sasa ni RAIS...
 
Aah kwanini mlimchagua,nawalaumu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom