Kutoka kichwa mpaka dafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka kichwa mpaka dafu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by issabela, Aug 25, 2012.

 1. i

  issabela Senior Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katik mkutano wa madaktari bingwa unaoendelea uko copenhagen (denmark) madaktar 7 kutok china, 3 toka germany, 2 toka tanzania wakiw katk mapumzko walikua wanajisifia kutokana na taaluma zao wachina wakasema mafanikio yao kwe2 alizaliwa mtot hana mikon 2kamwekea mikon ya bandia sasa ni bingwa wa karate mjeruman nae akasema iyo ndogo kwe2 sisi alizaliwa mtoto hana miguu 2kamwekea ya bandia sasa ni bingwa wa olimpic m tanzania nae akasema nyote hamfiki kwe2 katk wilay ya bagamoyo alizaliwa mtot hana kichwa 2kamwekea dafu sasa ni rais
   
 2. a

  axel fowly Senior Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha..duh kweli mna bifu na raisi wenu..
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Duh hii kali.
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wivu na ole wenu mkamatwe mtaolewa
   
 5. i

  issabela Senior Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  labda ukanisemelee wew
   
 6. Manager

  Manager JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kweli kama ni hivi siutaki uraisi tena!
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mabwepande inakuhusu issabela, wallah tena, mtaarifu Juma Mgaza mapema aje kukuokota!
   
 8. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wacha watu watumie akilizao kupambana poor leaders kwa style tofauti. Hatutaki vitisho.
   
 9. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Rama Wapi kuna kazi nyingine ya mabwe ...paaa.
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ningekwa mimi presidaa ningejiuzulu mnanichoka hivi? Hata kama ningekuwa mwanachama wa ccm tu ningemshauri ajiuzulu
   
 11. p

  pretty n JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inafurahsha ila Repeated
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Arghhh!!
  Uzi huu unarudiwa kwa mara ya tatu sasa
   
Loading...