Mafanikio ya TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafanikio ya TZ

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bitabo, Feb 18, 2012.

 1. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Palitokea mkutano wa madaktari bingwa kutoka nchi 3, UCHINA, UJERUMANI na TANZANIA wakawa wanajadili mafanikio yaliyofikiwa katika nchi zao.
  MCHINA akaanza...,kwetu alizaliwa mtoto hana mkono tukamwekea wa bandia na sasa ni mpiganaji wa karate.

  MJERUMANI.., akasema hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu yote miwili tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana medali 3 za dhahabu.

  MTANZANIA..., akacheka saaaana akasema kwenu bado hamjafikia rekodi yetu, sisi hapo BAGAMOYO alizaliwa kijana hana kichwa tukamwekea nazi na sasa ni RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
   
 2. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu c utani ni ugomvi!
   
Loading...