Nani yupo Sky Lounge saa hii.....?

Last edited by a moderator:
Inakuaje wengine hua hatunywagi mpaka tufumanie mialiko!
Na bia mbili tu nikimeza hua siwezijua njia ya home, itakuajekuaje asa? Pakumbonji !
 
Inakuaje wengine hua hatunywagi mpaka tufumanie mialiko!
Na bia mbili tu nikimeza hua siwezijua njia ya home, itakuajekuaje asa? Pakumbonji !

juu ya nini.....utalala kwangu....
 
Tena ntaomba huyo mume wake afunge safari ya mbali atuache tumegandana hata mwezi,mzee mzima nachochea tu ndani kwa ndani....
Uzuri ile makitu haifanyi kazi unapohamia eateli ila tu kama unaendekeza hii makitu..... Hebu angalia hii xtreme 0713, kwanini tusigandiemo??

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…