Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,612
- 17,647
Jombaa hiyo figure ya mbele $400trilion hebu rudia kuandika upya ina ukakasi sanaBila kusahau kunatofauti kubwa kati ya $300m na $400triliion

Ok BashiteHata kama ni ya saa moja mlisema hatutapata hata mia na tutashtakiwa sjui sisi ni wanachama wa MIGA na tutawalipa swali kama mlivyopiga KELELE NA VUVUZELA WENU vp wametushtaki? Vp tunawalipa?
Lopolopo wenu aliwapanga tutashtakiwa na nyie mkabeba na matarumbeta hovyo kabisaOk Bashite
Hawa Jamaa ni Wajanja Mno Tulikuwa tunawadai $194 billion wako Tayari kulipa $300 million Wame Tupumbaza kwa kutuambia Tuta Fanya Biashara ya pasu kwa pasu Mauzo ya Kitakacho patikana kwenye Mgodi Baada ya Muda Kidogo Wata Fungasha VilagoUchambuzi Wangu wa Tarehe 12 June, 2017 Ndani ya JF
Hatua zilizochukuliwa
1. Hatua ya JPM kusitisha mchanga kwenda nje kwa ajili ya uchunguzi ni sahihi.
2. Report ya kwanza na Mapendekezo yake ni sahihi.
3. Report ya pili na Mapendekezo yake ni sahihi pia.
Mkakati ya Team JPM
Hatua zote tatu ni sahihi kwasababu alichofanya JPM sio kuvunja mkataba au kuzuia moja kwa moja usafilishaji wa mchanga bali ni strategy za kuwafanya ACACIA warudi kwenye meza ya majadiliano wakiwa hawana confidence kwa kudai share kubwa ukilinganisha kama wangeitwa bila JPM kutengeneza Cheos, kwahiyo uundaji wa tume zote mbili pamoja na ya Tatu ambayo alisema yeye mwenyewe haijui ni mpango mkakati wa kutengeneza room nzuri ya negotiation ili apate faida kama nilivyoanisha hapo chini.
Kumbukeni kamati ya bunge ilishawahi kupitia sera na mikataba ya madini wakaishia kuambulia mabadiliko madogo sana.
Faida ya kutengeneza mtafaruku
1.JPM atakuwa na evidence ya uwizi wanaofanya wakati wa majadiliano mapya
2. JPM atakuwa anajua na ataenda na share anayoitaka kuidai kwenye meza ya majadiliano
3. Hata kama ACACIA wanabebwa na baadhi ya vipengele kwenye mkataba, watakuwa hawana confidence ya kudai share kubwa kutokana na Guilty Consciousness baada ya kuvuliwa taulo.
4.JPM atakuwa na room ya kudai share nyingi hadi kwenye pure gold mbali na makinikia
5.JPM atapata room kubwa ya kureview mikataba ya madini na gas kama ambavyo ameshaagiza kwasababu wawekezaji watamuona yuko serious tofauti na waliopita.
6.Kulingana na mazingira na ukweli uliojulikana, ni ngumu kwa ACACIA kwenda mahakamani, watataka hili swala liishie mezani. Kwahiyo habari ya ACACIA kwenda mahakamani sahauni.
Toafuti ya JPM na Lissu kimkakati
1.JPM aliamua kutengeneza mgogoro ili apate faida nilizo hainisha hapo juu na zitampa faida-Best Approach.
2.Lissu alitaka tuilete mikataba bungeni kwa ajili ya marekebisho, akaiponda aproach ya JPM-Weak Approach
Kwanini JPM yuko sahihi
Mikataba itakavyorudishwa bungeni kujadiliwa JPM atakuwa na evidence, na watajadili kulingana na evidence na Loop holes zilizoainishwa na kamati zote.
Kwanini Lissu hayuko sahihi sana
Approach yake ingesababisha bunge kiadili mikataba Blindly bila evidence yoyote hivyo serikali kuambilia kiduchu kama kamati ya akina Zitto/Bomani
Uchambuzi Wangu wa Tarehe 12 June, 2017 Ndani ya JF

Mwanangu wamekupa nn?
Aman!!!!wewe wamekupa nn na umaasikini huo
Hawa Jamaa ni Wajanja Mno Tulikuwa tunawadai $194 billion wako Tayari kulipa $300 million Wame Tupumbaza kwa kutuambia Tuta Fanya Biashara ya pasu kwa pasu Mauzo ya Kitakacho patikana kwenye Mgodi Baada ya Muda Kidogo Wata Fungasha Vilago
Time will TellKuna ukweli, ila kufungasha ni ngumu sababu nchi zenye madini mengi ni Congo DRC na TZ, na madini yaliyochimbwa so far hayafiki hata 10%, lazima wakubali kufanya biashara halali kwa muda mrefu sababu hawatajiendesha kwa hasara na watakuwa wanapata faida japo siyo super profit kama mwanzo....
Mhu! Hapa sioni premisses naona tu conclusions. Naomba unisaidie kuona hizo premisses.
Kwa hilo sioni sababu ya kumlinganisha magufuli na vitu vyakijinga viva magu vivaUchambuzi Wangu wa Tarehe 12 June, 2017 Ndani ya JF
Hatua zilizochukuliwa
1. Hatua ya Magufuli kusitisha mchanga kwenda nje kwa ajili ya uchunguzi ni sahihi.
2. Report ya kwanza na Mapendekezo yake ni sahihi.
3. Report ya pili na Mapendekezo yake ni sahihi pia.
Mkakati ya Team Magufuli
Hatua zote tatu ni sahihi kwasababu alichofanya Magufuli sio kuvunja mkataba au kuzuia moja kwa moja usafilishaji wa mchanga bali ni strategy za kuwafanya ACACIA warudi kwenye meza ya majadiliano wakiwa hawana confidence kwa kudai share kubwa ukilinganisha kama wangeitwa bila Magufuli kutengeneza Cheos, kwahiyo uundaji wa tume zote mbili pamoja na ya Tatu ambayo alisema yeye mwenyewe haijui ni mpango mkakati wa kutengeneza room nzuri ya negotiation ili apate faida kama nilivyoanisha hapo chini.
Kumbukeni kamati ya bunge ilishawahi kupitia sera na mikataba ya madini wakaishia kuambulia mabadiliko madogo sana.
Faida ya kutengeneza mtafaruku
1.Magufuli atakuwa na evidence ya uwizi wanaofanya wakati wa majadiliano mapya
2. Magufuli atakuwa anajua na ataenda na share anayoitaka kuidai kwenye meza ya majadiliano
3. Hata kama ACACIA wanabebwa na baadhi ya vipengele kwenye mkataba, watakuwa hawana confidence ya kudai share kubwa kutokana na Guilty Consciousness baada ya kuvuliwa taulo.
4.Magufuli atakuwa na room ya kudai share nyingi hadi kwenye pure gold mbali na makinikia
5.Magufuli atapata room kubwa ya kureview mikataba ya madini na gas kama ambavyo ameshaagiza kwasababu wawekezaji watamuona yuko serious tofauti na waliopita.
6.Kulingana na mazingira na ukweli uliojulikana, ni ngumu kwa ACACIA kwenda mahakamani, watataka hili swala liishie mezani. Kwahiyo habari ya ACACIA kwenda mahakamani sahauni.
Toafuti ya Magufuli na Lissu kimkakati
1.Magufuli aliamua kutengeneza mgogoro ili apate faida nilizo hainisha hapo juu na zitampa faida-Best Approach.
2.Lissu alitaka tuilete mikataba bungeni kwa ajili ya marekebisho, akaiponda aproach ya Magufuli-Weak Approach
Kwanini Magufuli yuko sahihi
Mikataba itakavyorudishwa bungeni kujadiliwa JPM atakuwa na evidence, na watajadili kulingana na evidence na Loop holes zilizoainishwa na kamati zote.
Kwanini Lissu hayuko sahihi sana
Approach yake ingesababisha bunge kiadili mikataba Blindly bila evidence yoyote hivyo serikali kuambilia kiduchu kama kamati ya akina Zitto/Bomani
Mahaba kwenye ubora wakeUchambuzi Wangu wa Tarehe 12 June, 2017 Ndani ya JF

Mkuu, haya yalikuwa maoni yangu pindi tu JPM alivyoanzisha mgogoro wa makinikia, na Lisuu alimpinga toka mwanzo...
Na haya ndiyo yalikuwa maoni yangu wakati ule, na kwa kiasi kikubwa ndiyo kilichotokea kwenye taarifa ya majadiliano ya kamati ya Prof. Kabudi na Barick....
Nadhani unaweza pata picha ya chanzo cha uzi huu..........
Kwani mpaka sasa tumepata nini? Hiyo dola milioni 300, kipindi chote uzalishaji uliposimama, tumepoteza kiasi gani kupitia kodi, uwekezaji, michango ya kwenye mifuko ya kijamii, mishahara ya wafanyakazi waliofukuzwa, na zaidi Tanzania kuonekana ni mahali hatari kwa mitaji ya nje?Uchambuzi Wangu wa Tarehe 12 June, 2017 Ndani ya JF
Hatua zilizochukuliwa
1. Hatua ya Magufuli kusitisha mchanga kwenda nje kwa ajili ya uchunguzi ni sahihi.
2. Report ya kwanza na Mapendekezo yake ni sahihi.
3. Report ya pili na Mapendekezo yake ni sahihi pia.
Mkakati ya Team Magufuli
Hatua zote tatu ni sahihi kwasababu alichofanya Magufuli sio kuvunja mkataba au kuzuia moja kwa moja usafilishaji wa mchanga bali ni strategy za kuwafanya ACACIA warudi kwenye meza ya majadiliano wakiwa hawana confidence kwa kudai share kubwa ukilinganisha kama wangeitwa bila Magufuli kutengeneza Cheos, kwahiyo uundaji wa tume zote mbili pamoja na ya Tatu ambayo alisema yeye mwenyewe haijui ni mpango mkakati wa kutengeneza room nzuri ya negotiation ili apate faida kama nilivyoanisha hapo chini.
Kumbukeni kamati ya bunge ilishawahi kupitia sera na mikataba ya madini wakaishia kuambulia mabadiliko madogo sana.
Faida ya kutengeneza mtafaruku
1.Magufuli atakuwa na evidence ya uwizi wanaofanya wakati wa majadiliano mapya
2. Magufuli atakuwa anajua na ataenda na share anayoitaka kuidai kwenye meza ya majadiliano
3. Hata kama ACACIA wanabebwa na baadhi ya vipengele kwenye mkataba, watakuwa hawana confidence ya kudai share kubwa kutokana na Guilty Consciousness baada ya kuvuliwa taulo.
4.Magufuli atakuwa na room ya kudai share nyingi hadi kwenye pure gold mbali na makinikia
5.Magufuli atapata room kubwa ya kureview mikataba ya madini na gas kama ambavyo ameshaagiza kwasababu wawekezaji watamuona yuko serious tofauti na waliopita.
6.Kulingana na mazingira na ukweli uliojulikana, ni ngumu kwa ACACIA kwenda mahakamani, watataka hili swala liishie mezani. Kwahiyo habari ya ACACIA kwenda mahakamani sahauni.
Toafuti ya Magufuli na Lissu kimkakati
1.Magufuli aliamua kutengeneza mgogoro ili apate faida nilizo hainisha hapo juu na zitampa faida-Best Approach.
2.Lissu alitaka tuilete mikataba bungeni kwa ajili ya marekebisho, akaiponda aproach ya Magufuli-Weak Approach
Kwanini Magufuli yuko sahihi
Mikataba itakavyorudishwa bungeni kujadiliwa JPM atakuwa na evidence, na watajadili kulingana na evidence na Loop holes zilizoainishwa na kamati zote.
Kwanini Lissu hayuko sahihi sana
Approach yake ingesababisha bunge kiadili mikataba Blindly bila evidence yoyote hivyo serikali kuambilia kiduchu kama kamati ya akina Zitto/Bomani
Mahaba kwenye ubora wake
Lis ni mnafiki, ni bora mbow alifanya kazi yake ingawa hakuifanya vizuri sana ya kumtwanga risasi huyu mnafikiUchambuzi Wangu wa Tarehe 12 June, 2017 Ndani ya JF

Taasisi inazidiwa hoja na mtu mmoja hadi kuamua kumuua basi Lissu no bora kuliko taasisiHoja yangu iko hivi, JPM kama Rais sio mtu bali ni Taasisi, kwa hiyo huwezi kulinganisha mtu (Lisu) na Taasisi ya Urais.
Ndiyo sababu ya kummiminia risasi kwa kuwa alikuwa na weak approach?