Nani yupo sahihi: Magufuli vs Lissu

Nani yupo sahihi: Magufuli vs Lissu

Mwenyekiti wa Barrick Gold anaongea

Anasema Mbele bado kuna matumaini makubwa na wana kazi kubwa ya kufanya na maamuzi yote yanatakiwa yapitishwe na bodi ya wakurugenzi iliyopo Uingereza ambao wanamiliki 64% ya Acacia

Mwenyekiti wa Barrick Gold John L. Thornton amesema kulikuwa na kutokukubaliana kati ya Tanzania na kampuni ya Acacia kuhusu masualaya kodi, hata hivyo wamekubali kulipa dola milioni 300 kwa ajili ya kukuza uaminifu

Kutokana na ugumu wa suala lenyewe wamekubaliana kuunda timu ndogo ambayo itashirikisha pande zote mbili kwa ajili ya kuendelea kushughulikia masuala machache yaliyobakia

Michakato yote itaenda kwa misingi ya uwaziili tuweze kuelewa masuala yote kwa uwazi zaidi

Nampenda kumshukuru rais Magufuli kwa kuwa ndio muanzilishi wa mchakato huu na mfumo huu wa biashara ambao utakuwa ni mfano wa kuigwa duniani, nawashukuru sana....amemaliza
 
Hivi kati ya Albadir na Laana ya Askofu Kilaini ipi inanguvu?
 
Huu n unafiki, kwann usiandike haya toka mwanzo wa mzozo.... eti leo umeona tume wa majadiliano imefanya vzuri ndo unajidai kuandiak hivi
 
Nyie watu ni vilema wa akili.

Angekuwa na evidence angekubali kupata $300m badala ya $190bn na ushahidi upo.

Hiyo $300m wanasema ni good faith kwamba tulikuwa tuna njaa ya pesa wametupa ili mambo yaende.

Pathetic!
 
Kesho mripoti kituoni hapo central kwa mahojiano zaidi wote ambao mmekomenti huu uzi kasoro mtoa mada aje jumatatu kuripoti....
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Nyie si ndio mnaopewa pesa kidogo na vocha kuvamia pages fulani fulani kutetea ujinga!!!Tangu nimelijua hilo huwa siwezi hata kutoa comment zangu kwani najua sio akili ya mtu huwa inaandika haya!!!Naona mnaongezeka tu siku hadi siku!!!Tulikuwaga tunawajua Jingalao,cocoachel,barbarossa, .....ila kwa sasa mmeongezeka mno na hii ni kutokana na ukata unaondelea kulikumba taifa!!! Njaa haina baunsa mkuu!!!Siwezi kushangaa hata hapa JF mtaanza kupewa ban tu.
 
Uchambuzi Wangu wa Tarehe 12 June, 2017 Ndani ya JF

Hatua zilizochukuliwa
1. Hatua ya JPM kusitisha mchanga kwenda nje kwa ajili ya uchunguzi ni sahihi.
2. Report ya kwanza na Mapendekezo yake ni sahihi.
3. Report ya pili na Mapendekezo yake ni sahihi pia.

Mkakati ya Team JPM
Hatua zote tatu ni sahihi kwasababu alichofanya JPM sio kuvunja mkataba au kuzuia moja kwa moja usafilishaji wa mchanga bali ni strategy za kuwafanya ACACIA warudi kwenye meza ya majadiliano wakiwa hawana confidence kwa kudai share kubwa ukilinganisha kama wangeitwa bila JPM kutengeneza Cheos, kwahiyo uundaji wa tume zote mbili pamoja na ya Tatu ambayo alisema yeye mwenyewe haijui ni mpango mkakati wa kutengeneza room nzuri ya negotiation ili apate faida kama nilivyoanisha hapo chini.
Kumbukeni kamati ya bunge ilishawahi kupitia sera na mikataba ya madini wakaishia kuambulia mabadiliko madogo sana.

Faida ya kutengeneza mtafaruku

1.JPM atakuwa na evidence ya uwizi wanaofanya wakati wa majadiliano mapya

2. JPM atakuwa anajua na ataenda na share anayoitaka kuidai kwenye meza ya majadiliano

3. Hata kama ACACIA wanabebwa na baadhi ya vipengele kwenye mkataba, watakuwa hawana confidence ya kudai share kubwa kutokana na Guilty Consciousness baada ya kuvuliwa taulo.

4.JPM atakuwa na room ya kudai share nyingi hadi kwenye pure gold mbali na makinikia

5.JPM atapata room kubwa ya kureview mikataba ya madini na gas kama ambavyo ameshaagiza kwasababu wawekezaji watamuona yuko serious tofauti na waliopita.

6.Kulingana na mazingira na ukweli uliojulikana, ni ngumu kwa ACACIA kwenda mahakamani, watataka hili swala liishie mezani. Kwahiyo habari ya ACACIA kwenda mahakamani sahauni.

Toafuti ya JPM na Lissu kimkakati

1.JPM aliamua kutengeneza mgogoro ili apate faida nilizo hainisha hapo juu na zitampa faida-Best Approach.

2.Lissu alitaka tuilete mikataba bungeni kwa ajili ya marekebisho, akaiponda aproach ya JPM-Weak Approach

Kwanini JPM yuko sahihi

Mikataba itakavyorudishwa bungeni kujadiliwa JPM atakuwa na evidence, na watajadili kulingana na evidence na Loop holes zilizoainishwa na kamati zote.

Kwanini Lissu hayuko sahihi sana

Approach yake ingesababisha bunge kiadili mikataba Blindly bila evidence yoyote hivyo serikali kuambilia kiduchu kama kamati ya akina Zitto/Bomani
Speculations mwanzo mwisho.
 
Kwahiyo watatulipa zile trilioni 400?
 
Kwahiyo watatulipa zile trilioni 400?
Tutazipata ndani ya muda mfupi baada ya mgao wa 50/50 kuanza.......

Zile hazirudishiki kirahisi, na serikali ilikuwa inajua kuwa hazirudi kirahisi ila ilikuwa njia ya kuwalegeza ili kupata mkataba wa win win situation......
 
Bila kusahau kunatofauti kubwa kati ya $300m na $400triliion
 
Wewe punguani kweli kwa hiyo serikali ili kugundua wanaibiwa na Accacia ni kuanzisha Chaos?

Serikali ina vyombo vingapi vya kuweza kujua hilo bila ya kuanzisha chaos?

Usalama wa taifa kazi yao ni nini?
Kazi ya TIC ni nini?

Hawa Stamico kazi yao ni nini?
Ni evidence ipi hiyo aliyo nayo ambayo ameishia kuchukua Trillioni moja badala ya Trillion 300? Angekuwa na evidence walau si angelipwa hata Trillion 150?

Nk
 
Hiyo ni faida ya siku moja kwa hao jamaa, kwa vile CCM mnaulemavu wa akili hapo mtashangilia mpaka 2020. Poor CCM
Hata kama ni ya saa moja mlisema hatutapata hata mia na tutashtakiwa sjui sisi ni wanachama wa MIGA na tutawalipa swali kama mlivyopiga KELELE NA VUVUZELA WENU vp wametushtaki? Vp tunawalipa?
 
Back
Top Bottom