Nani yupo macho?

Nipo kitandani na mke wangu ila kuna kitu kimenistua. Baada ya kustuka usingizini mke akaamka kumkojolesha mtoto.

Cha ajabu imenichukua dk kama 10 kukumbuka jinsi la mtoto wangu ana miaka 2

Hii ni hali ya kawaida au maana nilijaribu kukumbuka ila kumbukumbu zikanigomea kwa haraka nikashindwa kukumbuka.

Ila kwa sasa nimeshalikumbuka kina.

Mwanangu anaitwa catherine
 
Jinsi kivip

Umelikumbuka kina kivipi?
 
Mmh🥺 imekuwaje
 
Nimetoka nacheki UEFA pub ndio nafika home hivi. Nawaza sijui niamshe mtu nipige kimoko ndo nilale au nikaushe tuu!
Mh mnaringa sana nyie wenye watu ndani ,hapo ni wewe kuichapa au kuiacha .

Na mimi nasubiri ifike saa kumi kuna kaajira mpya toka saa tano kamelala utadhani hii kazi ya baba yake ,ikifika nikasomeshe nione kama na mimi kutakucha nikiwa nimebahatika kuloweka
 
😀 Morning glory...!
 
Mimi kuna siku niliokota embe chini ya mnazi! Ilikuwa kama zali la mentali tuu, maana ndio nilikuwa natoka shift saa sita kasoro usiku!
Cha ajabu nilipoloweka haikulowana! Kumbe siku hizi kuna new model zinakaa hukohuko😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…