Nipo macho katika mazingira yangu ya kila siku kimajukumuNani yuko macho muda huu
Katika mazingira gani
Ya furaha?
Ya huzuni?
Ya dharura?
Ya sintofahamu
Hospital au nyumbani?
Gesti ama safarini?
Peke yako ama?
Sema hi huko ughaibuni ,ukirudi bongo njoo na mikuku ya huko tuile kakaMimi hapa niko macho just zimetoka kufuatilia game za uefa..kwa sasa hapa nilipo mi saa 11 alfajiri ..ghorofa namba 10..room 30....sina huzuni nina furaha KIASI...lisaa limoja baadae naenda shopping..narudi kuendelea kuangalia movie na kujipikia vyakula
Peke yako!?Mimi hapa niko macho just zimetoka kufuatilia game za uefa..kwa sasa hapa nilipo mi saa 11 alfajiri ..ghorofa namba 10..room 30....sina huzuni nina furaha KIASI...lisaa limoja baadae naenda shopping..narudi kuendelea kuangalia movie na kujipikia vyakula
AkaNiko Mafia.. Jioni ya Leo nikakuta wavimba macho wanakula konokono nikakumbuka hii videoView attachment 3559327
Ile kaka wakipika kwa midawa yao sijui viungo ,hautawapenda mitetea wetu hawa waliokondaSio mitamu kabisa😂
Nilisahau ni mwezi wa kujificha ,dah pole sana hakika umeenda kipindi kibovu sana ambacho hata wavivu watakuwa wanakimbia kuja kushow love mjiniHuku vijiwe vyote vimefungwa😭
Poleni sana, hapa kila huduma ipo kama hakuna mfungo vile..Huku vijiwe vyote vimefungwaí ½í¸
Anhaa enjoy sana kakaLeo niko Ibiza kesho ngoja nikatalii huko.. Shukrani Sana
Noma sanaNipo macho katika mazingira yangu ya kila siku kimajukumu
Bwashee ,usiku huu upo macho kaka ,bila shaka uko kushusha mitungiNoma sana