ni pm nanihii yako tuchati!:A S wink:Mi natoa nasoma sred jf km kn mtu yupo singo
Kwa hiyo unamtaka mwanaume mwenzio Godfrey Jackson?
hiyo ndo habari mkuu, wanaogopa waije wakaoa kumbe mtu hazai, wanatest mapemaaa..ulinifrahisha sana ile commet uliyosema siku hz watu wanaolewa wajawazito daaah!!!!!!