Nani yuko nyuma ya hujuma hii?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,904
huu ni mvinyo wa Penasol, yani hapo ndio umetoka kufunguliwa kizibo lakini kama picha inavyojionesha ndani kulitakiwa kuwe na SEAL! lakini haipo imeshatobolewa
Kuna biashara kubwa inayoendelea ya kuuza mabox tupu ya huu mvinyo kisha watu wanajijazia watakavyo! Kuna ladha za penasol zaidi ya tano, kuanzia Dodoma wine mpaka Zulu ya msouth
Wanywaji wanaumizwa kwenye hili kuanzia bei as an imported drink mpaka afya.....
Ni nani yuko nyuma ya hujuma hii?
 
Kweli nipo nyuma katika kujamiiana na walevi wa kishua, hilo boksi nilikua nikiona dukani hua najua ni juisi kumbe mvinyo?
 
Niliwahi kununua altar wine fake pale manzese darajani, ilibidi niwarudishie wanipe hela yangu. Ladha ya hovyo hata vizibo viliwashinda kurudisha wakavichonga ila nembo na seal walipatia.
Mmh mpaka wanapiga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…