tutazirusha wenyewe subiri nishibe kwanza!
Kumbe kimya chote hicho wala?.....
Mwenzio pishi la leo limenitoa machozi na kukohoa...
Habar zenu wapendwa
Nzuri hujambo?
Habari za hapa waungwana???
Narudi baada ya 2 hours...
Msilale eeehππππ
Kumbe kimya chote hicho wala?.....
Mwenzio pishi la leo limenitoa machozi na kukohoa...
umejaza mno pilipili..
He jmn!! Pole mwaya
Wageni wanasinzia hadi udenda wanadondosha....
Tuliwakaribisha kaimati leo...
Narudi baada ya 2 hours...
Msilale eeehππππ
habari ya wewe?
Habar zenu wapendwa
Swalama bibie,habari ya wewe
Mwageni stori,mi msikilizaji
ngoja kwanza nimalize kupika ntarudi...
Unapika nini kitamu hivyo saa tano na robo usiku?
.
Narudi baada ya 2 hours...
Msilale eeehππππ
unapika nini kitamu hivyo saa tano na robo usiku?
.