Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Itabidi leo lindoni tuweke mduara tuburudike Jerrymsigwa ulete radio yako lol....
Mie nafanya mazoezi kabisaa la si hivo mtanicheka lolππππππ
farkhina upoo?
jamani, mambo zenu. jana watu walikesha sana, ndo maana hata walinz leo wamepitiwa!!
Nipooooo....hujambo?
farkhina, naona unakamata namba.
Niko powa habari za humu?
Naenda zangu kwenye siasa, huku naona watu wana usingizi leo hakuna cha Nambe, charminglady, rungwembe78!
Chezea mie eeeeh...
hongera kaka.
Nipo bana mida hata haiendi leo!!
he! mbona mida inakimbia kama vile siku za mwisho! kwema lakn?
Saiv sa6, na siku mbaya hizi njaa inauma no hela mda lazima uende slow. Niko powa mbayaaaaaaa
pole, ila kuna ugali kwenye h.port umeuona?
Naenda zangu kwenye siasa, huku naona watu wana usingizi leo hakuna cha Nambe, charminglady, rungwembe78!