Huuoni ohooooo tazama juu hapo!!!
Hahahaha pole....
Huuoni ohooooo tazama juu hapo!!!
si ulisema unatuletea zile za kidhungu..au tutafute sinia zitafaa sana...
Kuna watu huku?
Tupo.....
Nipo V umeona namba hiyo?
Tupo.....
Mambo....
Nawatakia lindo jema... Mie leo natoroka kundini, ila nikiwamiss nitarudi kiduchu...
Nambe, Jawilat, farkhina, Jerrymsigwa, SIRJENITO na #TeamMapopoo wooote!!!!
Amka ukaswali mida hiyoo
Mie kwisha amka mapemaaa Jerrymsigwa
Wangu leo nilipitiwa aisee.... Dah!!!
Poaaaa...ulikua wapi?
Nlikua pale kwnye sebene
Hahahahahahaha hapo mihuu inauma na kiuno kwa kuserebuka.....
Wacha tu yani...