Itabidi leo lindoni tuweke mduara tuburudike Jerrymsigwa ulete radio yako lol....
Mie nafanya mazoezi kabisaa la si hivo mtanicheka lol😉😉😉😉😉😉
Bora sinia...
Hahaaaa...fanya shost ili badae ukonge nyoyo vzr
..
morning
Za asubuhi...
poa....
Ndo mnaamka??Za asubuhi...
ni kinini hiki lol??Naona uko poa mamie... Stolech nyabho!! Wapi Judgement akalimani hapa???
Mbona nshaanza kupiga miayo!!Badoo mda weye tena ukosekane?
Mbona nshaanza kupiga miayo!!
leo nimekuona kwenye msiba wa mandela, kwa nini ulivaa nguo nyeupe msibani?..
morning
farkhina naona leo watu wamedoji, ngoja na mimi nidoji. na we jilie kiporo cha mchana ulale hamna kupika leo.