Za saizi jamani?napenda kujumuika nanyi leo ila sijisikii vizuri..naombeni msaada lindoni.. farkhina Jerrymsigwa Ngongoseke mimi49 binamutz billy,@rugwebe na wengine wote
yap,naona hakuna story,,npe storyMapema yote hii...
Nini mbaya tena mwenzetu?
Za saizi jamani?napenda kujumuika nanyi leo ila sijisikii vizuri..naombeni msaada lindoni.. farkhina Jerrymsigwa Ngongoseke mimi49 binamutz billy,@rugwebe na wengine wote
sijui hata najisikia tu kuwa alone,sielewi nna tatizo gani! Najisikia heartless!
sijui hata najisikia tu kuwa alone,sielewi nna tatizo gani! Najisikia heartless!
Mapema yote hii...
​haya leteni story wapendwa
Kumbe maziwa yapo eeh,basi vizuri...tuendlee zetu
Jawilat nipo kukutoa upweke poleesijui hata najisikia tu kuwa alone,sielewi nna tatizo gani! Najisikia heartless!
mmi huwa namshangaa sana mtu anaeogopa uchawi!! Mzima wewe?
Me muzima mwenzangu huogopi?
Oooh..hata mduara hutaki leo
sijui kama utaweza hili tatizo ni la muda sana linawapa tabu hata watu wangu wa karibu..