Nani yuko macho tupige stori?

Daaaaah
Watamuuu sanaaa.
Ila nimekabwa na mifupa wakati namalizia Tonge la mwisho.
Ngoja Kwanzaa nikanywe maji
Ukiona kimya ujue nimedanji.
 
Daaaaah
Watamuuu sanaaa.
Ila nimekabwa na mifupa wakati namalizia Tonge la mwisho.
Ngoja Kwanzaa nikanywe maji
Ukiona kimya ujue nimedanji.
Pole sana,malizia kichwa mie namalizia mkia
 
Daaaaah
Watamuuu sanaaa.
Ila nimekabwa na mifupa wakati namalizia Tonge la mwisho.
Ngoja Kwanzaa nikanywe maji
Ukiona kimya ujue nimedanji.
Kwa nin usijisogeze hapa nikusaidie?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…