Nani yuko macho tupige stori?

goog night
 
farkhina yupo ila nadhani atapunguza kukesha baada ya M/Mungu kumjalia mtoto few days ago bily

Sent from Mchina
 
Last edited by a moderator:
Wahoo thats gud namtakia kila la heri M/Mungu amjalie nguvu na afya ajifungue salama Amen.

farkhina yupo ila nadhani atapunguza kukesha baada ya M/Mungu kumjalia mtoto few days ago bily

Sent from Mchina
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nilikuepo dah yaani hapa siku hizi watu hamna sijui wameenda wapi Excel mzee wa Beverly Carlif huko wapi ?

Hahahaa haya watu wameichoka hii post

Sent from Mchina
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nilikuepo dah yaani hapa siku hizi watu hamna sijui wameenda wapi Excel mzee wa Beverly Carlif huko wapi ?

mkuu nipo aisee...! nimebanwa na ujana bana!

mang'ana yameanza kunifika shingoni!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…