Nani yuko macho tupige stori?

Mkuu we acha nili creat ID mods wakaunganisha nika creat nyingine wakaunganisha tena acha tu mkuu.

ila mkuu ungetumia tu busara kwa kuwasiliana na uongozi angalau wakupunguzie muda... support@jamiiforums.com, ungeongea nao live mkasema kiutu uzima, wale nao ni watu...
 
huyu mshikaji tulishazinguana bana... nilimwambiaga naishi california! hahahaaaaaa!!! baadae tukakutana kariakoo shimoni!!

nilimuingiza mjini na ukubwa wake... sasa akiniona anakumbuka!

Kuna mshkaji wako alini-pm kunipa details zako hauko California te te tee kumbe ni swagger tu. Ila we mkali sio kidogo, cheki mida hii uko macho, najua huko kwetu Afrika ni night
 
Teh teh teh dah umenichekesha sana mkuu hii ndio raha ya JF, chezea carlif wewe aha aha aha muambie ungemuambie upo Miami.

aaah wapi! hamna aliyeku-pm wala nini!!

mbona niko live saa hizi? unajua new jersey na snow yote hii ni saa ngapi? lol!
 
Teh teh teh dah umenichekesha sana mkuu hii ndio raha ya JF, chezea carlif wewe aha aha aha muambie ungemuambie upo Miami.

aah wewe!! miami si angechizika atii!! au labda ningemwambia niko beverly hills kule matajiri wa hollywood wanakoishi!!

ahhahaaaaa!! ngoja nimlie upepo tena...!!!
 
kwa kweli sikufikiria ilo mkuu hope ningepata ushauri kama huu mda ule ninge respond.

aisee mimi nilishagongwa ya miezi mi3!! aisee sikuvumilia bana, ndani ya siku hiyo hiyo nikawaingilia kupitia yahoo nikaongea sana, bembeleza mno! nikarudishiwa baada ya saa3.. aisee nilipumua duh!!

ila usijali, karibu sana!!
 
Ok mkuu asante sana nishakaribia.

aisee mimi nilishagongwa ya miezi mi3!! aisee sikuvumilia bana, ndani ya siku hiyo hiyo nikawaingilia kupitia yahoo nikaongea sana, bembeleza mno! nikarudishiwa baada ya saa3.. aisee nilipumua duh!!

ila usijali, karibu sana!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…