shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Nami pia ila tayari nipo kwenye net.
We utasinzia muda si mrefu
Nami pia ila tayari nipo kwenye net.
Busu la nn tena
aah.. hako kadude sijui kameingiaje.. usingizi mama..
sorry kama nimekuboa!
mimi nipo macho
Hahaha we lala bwana naona umezidiwa
Wengine kumbe ni walinzi wa zamu ya usiku?? maana sijawahi waona humu ndio kwanza nawaona sasa.
Kwangu ni salama sana
Uko macho haya
toa mifano tuone!!
weweeee!!!
hi!.....
eenh! mbona offline tena?
Hello Excel tufahamiane basi kaka yangu.
Nimejaa tele
Kumbe nawe mlinzi. we nilishakuona sema una makavu live aaah!!!
Mi ninayo sema najizuia ila mwenzangu aaah
Hichi kijiwe nimekimiss kupita maelezo aise,washkaji vipi hapa mmetelekeza lindo aisee