nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Sema, mbona kimya au still una forward msj za valentine?
kama ulikuepo vile.... nilikua nafoward kwa ndugu, jamaa na marafiki wote...
Sema, mbona kimya au still una forward msj za valentine?
kama ulikuepo vile.... nilikua nafoward kwa ndugu, jamaa na marafiki wote...
Kuna utamu wake kusoma msj nzuri kabla usingizi haujaisha vzr
Sure... ila mie nilitaka wapate hiyo suprize asubuhi cha ajabu nao wananijibu muda huu.... kuna haja ya kubadili usiku kuwa mchana nadhani...
Nlikuwa cjui kumbe ucku ni mrefu kama mchana
yeah... kama ni kazi wafanya kabisa kama mchana...
Hahhha ngoja niulaze naona landing gear isha engage, hop to see ur wishes b4 i woke up, nite nite
Hichi kijiwe nimekimiss kupita maelezo aise,washkaji vipi hapa mmetelekeza lindo aisee
Hahahaaa jirani leo tumekuwa walinzi?
Hahahaaa jirani leo tumekuwa walinzi?
Hamujambooo hmu walinzi
Hichi kijiwe nimekimiss kupita maelezo aise,washkaji vipi hapa mmetelekeza lindo aisee
hatujambo mamii!!
pita kushoto... kulia kuna shoti ya umeme!!:busu:busu:busu:busu:busu:busu
Acha tu mi mkavuuu ndo kwanza nafungua net sijui nitalala saa ngapi