Nani yuko macho tupige stori?

mkuu naona unaamka na kulala!!

mi nshaapa, nikikamata mmojawapo kati ya Jawilat, mimi49, farkhina, ama 'Valentina',

watasahau kabisa id zao za jf!! hahahahaaa!!

mwaka mzima tu mnasema walikuwepo! mnaangalia tu manyoya...!!!

utamaliza miji na waganga wote ila kunipata labda ndotoni...
 
Last edited by a moderator:
nitajie jina lake nimtafute...

Mmh@Jawilat au na wewe mgeni hapa? Yaani humjui mke wangu? Siyule Dada mweupe mweupe kila siku acheza segere hapa na baikoko jamvini humjui?muulize farkhina atakuambia jina lake
 
Last edited by a moderator:
Mmh@Jawilat au na wewe mgeni hapa? Yaani humjui mke wangu? Siyule Dada mweupe mweupe kila siku acheza segere hapa na baikoko jamvini humjui?muulize farkhina atakuambia jina lake

Te te te aisee kumbe? Na mimi nimtaje wangu!!?
 
Last edited by a moderator:
Te te te aisee kumbe? Na mimi nimtaje wangu!!?

Hahhaa Jerrymsigwa mtaje tu,mimi wangu anasiku 3 simuoni hapa sijui nishaibiwa🙁:thumbdown:🙁🙁 hivi wewe bint wakisegeju ushanikimbia au inakuwaje?ukichelewa kurudi mpaka kesho itabidi nkutaje tu jina hapa
 
Last edited by a moderator:
Sijalala mie...nipooooo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mmh@Jawilat au na wewe mgeni hapa? Yaani humjui mke wangu? Siyule Dada mweupe mweupe kila siku acheza segere hapa na baikoko jamvini humjui?muulize farkhina atakuambia jina lake

hahahaaa unapenda white totoz?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…