Dah haya mie umeniweza..inbox yako nadhani haijajaa kama ya charminglady maana ameweka avatar nzuri huyo heee akina BUBUji wakipita wanaenda inbox
Unajuaje km sisi ni wakubwa? Btw marhabaaa hujambo?
Si umesema ntakabwa! Nimeamka kbs nimewasha taahaaa haujalala tuu?
labda mwenyew ni katoto,alafu Id yako imekaa kibabu ujue..
labda mwenyew ni katoto,alafu Id yako imekaa kibabu ujue..
Marhaba...hujambo?
nawatakia jpili njema. ngoja nifanye maandalizi ya kwenda kanisani.
Dah haya mie umeniweza..inbox yako nadhani haijajaa kama ya charminglady maana ameweka avatar nzuri huyo heee akina BUBUji wakipita wanaenda inbox
kumbe siri ya pm ni avatar,ntaisaka sura ya farkhina niiweke na alivyo mrembo!
Haya poa katuombee, na kwako pia j2 iwe nzuri
asante.
pole bidada,ila massage natumai umepata!
Poa mi nko macho bado
Wewe hukulala?
Yani we unachoka kama punda?
nawatakia jpili njema. ngoja nifanye maandalizi ya kwenda kanisani.
Yani ule uchovu wa jana kamavile nlimwagiwa aise
Tuombee sisi wakosefu