ahaa!, kumbe. vipi leo kuna kula humu au nikadake viepe, eti farkhina niaje humu leo?
Mimi ameshalala let me come...
mi sijambo farkhina!
Hellooo
Hellooo
mpaka gani na ni sunnah ya mtume(S.A.W)
Ehhhhh haya wafuate hao....
I like ur name Sunshine; hivi unaezsje kuedit jins / id ya jf! Nawish nibadili
Register ID mpya kisha uwaambie mods waunganishe post zako... pia unatangaza jamvini. Hata mie nilinadili nikawaambia mods wakaunganisha post zangu na nikatangaza jamvini!!!
I like u
Hujambo?
Yeah humu poa tuu
poa, uko klabu gani?
Jerry za usubuh nowdayz nimekusaliti kwa zamu ya kulinda huwa nachoka sana