Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Oct 26, 2011 #101 Bebii said: uje na kamkoko hata kaambulance mi kazi kwisha huitaji maneno mengi Click to expand... Bodaboda hailipi? Au umetinga kimini bila bikini?
Bebii said: uje na kamkoko hata kaambulance mi kazi kwisha huitaji maneno mengi Click to expand... Bodaboda hailipi? Au umetinga kimini bila bikini?
TIMING JF-Expert Member Apr 12, 2008 24,917 11,315 Oct 26, 2011 #102 nani alisema hii thread inahusu kuchakachua?? Hii ni spesho kwa ajili ya furaha tu... Model Falls Down - Brazil Fashion Week - YouTube
nani alisema hii thread inahusu kuchakachua?? Hii ni spesho kwa ajili ya furaha tu... Model Falls Down - Brazil Fashion Week - YouTube
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Oct 26, 2011 #103 MTM said: yani unauliza umbea keko?? Click to expand... Khaaa!! Kwa hiyo keko ndo panashika bendera ya umbea!!!
MTM said: yani unauliza umbea keko?? Click to expand... Khaaa!! Kwa hiyo keko ndo panashika bendera ya umbea!!!
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Oct 26, 2011 #104 Sredi klozd. Kombe lishapata washindi.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Oct 26, 2011 #105 Manyanza said: Siasa= Nape's Company nadhani nikiongea hivi mnanielewa Click to expand... Hujakosea kabisa, yani hii mitu hii.........vumbi kabisa!!
Manyanza said: Siasa= Nape's Company nadhani nikiongea hivi mnanielewa Click to expand... Hujakosea kabisa, yani hii mitu hii.........vumbi kabisa!!