Nani wa kwanza kufa!?..

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,123
just.lol.things-20171208-0001.jpg
 
C kwa sabau ukihesabu hivyo vijumba vilivyo kwenye jiwe na vilivyopo kwe ukuta amba jiwe kuto kwa E atakapoliachia ama kulisukuma ni wazi hiyo sehemu yenye nafasi itakuja kutu kwenye kichwa cha herufi D hivyo ni dhahiri herufi D hataguswa na jiwe.

Kulingana na vyuma vilivyokaza uelewa wangu ni huo.
 
Hakuna atakaye kufa hapo,kwa sababu-A hilo tufe halitamkaribia,B hilo tufe halitamfikia,C hatafikiwa na hiyo weigh balance kwa kuwa tufe lililoko juu yake lipo kamili wakati hilo linalosukumwa na E limepunguzwa uzito hivyo halitaweza kunyanyua hiyo(bim balance?) huyo D hataguswa kwa kuwa hiyo notch kwenye tufe itam cover,Napambana na hali yangu!
 
Kweli vyuma vimekaza !sasa huyo E anadhurikaje hapo?

Jiwe litaloachiwa na E litatua kwa mtu C na jiwe lililo kwenye C litaruka hadi kufikia E

After all they are probability mathematics they can be other way out. To get a proper prediction that experiment need to have proper measurements.
 
Back
Top Bottom